Unaropoka.
Kwa alivyoibeba Argentins yenye wachezaji mabishoo kufika mpk fainal tatu za copa na world cup 2014 utasemaje kiwango hana?!
BARCELONA BILA MESSI NDIO HAMNA KITU.
KWASABABU BARCA INABEBWA NA MESSI NA SIO MESSI KUBEBWA NA BARCA.
NDIO MAANA MESSI ASIPOCHEZA UNAONA KABBISA BARCA INAELEMEWA.
TOA ASSIST ALIZOTOA MESSI MSIMU HUU KTK LIGI NA. UEFA NA TOA NA MAGOLI ITAZAME BARCA INGEFIKA WAPI.
MESSI AKIENDA POPOTE ATAFANYA VEMA KWASABABU YEYE NI PLAYMAKER SIO MVIZIAJI KAMA RONALDO ANAYEMBWERA JUVE.
BARCA INAJIJUA IKIMPOTEZA MESSI ITAPATA PIGO KUBWA SANA NDIO MAANA WANAMNG,ANG,ANIA ANGEONDOKA MAN CITY YULE 2017 AMA 2018 BARCA WAKAIWEKEA MANCITY VIGEZO VIGUMU.
KWASABABU WANAJUA AKIONDOKA HAKUNA MTU WA KUIBEBA BARCA KM MESSI AFANYAVYO.
Mkuu soma kwanza nilichokiandika ndio utoe POVU[emoji3]
Acha kukurupuka kama bashite[emoji3]
Sijasema messi hana kiwango nachokisema ni kwamba Messi nje ya Barcelona hachezi kwa kiwango na huo ubavu anao uoneshaga barca hana,,,,
Professional players wote duniani akihama timu anaonesha maajabu yaleyale kama ile timu alioihama
Kwamfano Christian ronaldo aliondoka Man untd akiwa nyota akaenda madrid akazidi kua nyota
Ronaldinho aliondoka milan akiwa nyota ea italy akaenda barcelona akazidi kuwa nyota
Kina rooney walitoka everton wakaja man untd wakawaka zaidi
Na kina fabregas kina kaka kina coutinho na wengine wengi tu
SASA NIKUULIZE SWALI MOJA,
Timu ipi messi alihama akiwa nyota akaenda timu ingine akazidi kuwa nyota?????
KAJAMAA KAPO HAPOHAPO BARCA TANGIA MIAKA13[emoji3]KANAZEEKEA HUMOHUMO[emoji3]
Tim kibao duniani zimetoa dau na dau lkn hakataki kuondoka kalishajijua[emoji3]
Mfano hai timu ya Taifa hakajawahi kuonesha maajabu hata siku moja,,lkn timu ya taifa ya spain ilishawahi kuchkua kombe la dunia miaka ya juzi tu
Argentina mara ya mwisho kuchkua ni miaka ya kina maradona[emoji3]