Conbell yamfungia Messi miaka 2!

Conbell yamfungia Messi miaka 2!

Hiki kianduje kina roho mbaya sana kama mwenzake kibakuli wa tanzania

Wameshindana wameshindwa wamebaki majungu tu

Kibakuli kila siku utamsikia akisema kuna watu wana nunua viewers sijui yeye kashindwa nini kununua

Huyu adunje kabaki kudai team pinzani zinabebwa akiona mafanikioa ya mwenzake Ronaldo anaumia sana
Duh una kipaji cha mipasho kama Hadija Kopa
 
Hiki kianduje kina roho mbaya sana kama mwenzake kibakuli wa tanzania

Wameshindana wameshindwa wamebaki majungu tu

Kibakuli kila siku utamsikia akisema kuna watu wana nunua viewers sijui yeye kashindwa nini kununua

Huyu adunje kabaki kudai team pinzani zinabebwa akiona mafanikioa ya mwenzake Ronaldo anaumia sana
We ni mwanaume kweli au bwabwa.?jiangalie mzee una ukeuke.
 
Unaropoka.
Kwa alivyoibeba Argentins yenye wachezaji mabishoo kufika mpk fainal tatu za copa na world cup 2014 utasemaje kiwango hana?!
BARCELONA BILA MESSI NDIO HAMNA KITU.
KWASABABU BARCA INABEBWA NA MESSI NA SIO MESSI KUBEBWA NA BARCA.
NDIO MAANA MESSI ASIPOCHEZA UNAONA KABBISA BARCA INAELEMEWA.
TOA ASSIST ALIZOTOA MESSI MSIMU HUU KTK LIGI NA. UEFA NA TOA NA MAGOLI ITAZAME BARCA INGEFIKA WAPI.
MESSI AKIENDA POPOTE ATAFANYA VEMA KWASABABU YEYE NI PLAYMAKER SIO MVIZIAJI KAMA RONALDO ANAYEMBWERA JUVE.
BARCA INAJIJUA IKIMPOTEZA MESSI ITAPATA PIGO KUBWA SANA NDIO MAANA WANAMNG,ANG,ANIA ANGEONDOKA MAN CITY YULE 2017 AMA 2018 BARCA WAKAIWEKEA MANCITY VIGEZO VIGUMU.
KWASABABU WANAJUA AKIONDOKA HAKUNA MTU WA KUIBEBA BARCA KM MESSI AFANYAVYO.
Mishabiki ya real madrid hainaga akili.Yani hilo wanalijua ila wanajitoa akili.
 
Kama ungejua mpira basi usingeandika haya kwa sababu mpaka sasa mfungaji bora mwenye magori mengi ni Messi.Sasa wewe unasema hajawahi au ni upungufu wa kumbukumbu kichwani?
Maradona yeye aliishia kuipa konbe moja tu lakin Messi ameiingiza timu fainali mara 3.kombe la dunia lililopita bila messi Argentina wasingefuzu.
Kuna watu kama Icardi huyu saiz hata Inter wamemtoa hana inshu Dyabala kama haami pale juve anakwenda kufa kipaji
Mkuu soma kwanza nilichokiandika ndio utoe POVU[emoji3]
Acha kukurupuka kama bashite[emoji3]
Sijasema messi hana kiwango nachokisema ni kwamba Messi nje ya Barcelona hachezi kwa kiwango na huo ubavu anao uoneshaga barca hana,,,,
Professional players wote duniani akihama timu anaonesha maajabu yaleyale kama ile timu alioihama
Kwamfano Christian ronaldo aliondoka Man untd akiwa nyota akaenda madrid akazidi kua nyota
Ronaldinho aliondoka milan akiwa nyota ea italy akaenda barcelona akazidi kuwa nyota
Kina rooney walitoka everton wakaja man untd wakawaka zaidi
Na kina fabregas kina kaka kina coutinho na wengine wengi tu
SASA NIKUULIZE SWALI MOJA,
Timu ipi messi alihama akiwa nyota akaenda timu ingine akazidi kuwa nyota?????
KAJAMAA KAPO HAPOHAPO BARCA TANGIA MIAKA13[emoji3]KANAZEEKEA HUMOHUMO[emoji3]
Tim kibao duniani zimetoa dau na dau lkn hakataki kuondoka kalishajijua[emoji3]
Mfano hai timu ya Taifa hakajawahi kuonesha maajabu hata siku moja,,lkn timu ya taifa ya spain ilishawahi kuchkua kombe la dunia miaka ya juzi tu
Argentina mara ya mwisho kuchkua ni miaka ya kina maradona[emoji3]
 
World Cup All time - Most Assists
Assists Assist name
6 Lionel Messi
5 James Rodriguez
5 Juan Cuadrado
4 Thomas Muller
4 Bastian Schweinsteiger
4 Eden Hazard
4 Kevin De Bruyne
3 Christian Ziege
3 Michael Ballack
3 Wesley Sneijder
3 Luis Suarez
3 Daley Blind

HIYO LIST NI YA CONTEMPORARY PLAYERS(WACHEZAJI WA KIZAZI CHA SASA)
UKIMTOA MARADONA MWENYE ASSIST NANE NA PELE MWENYE ASSIST KUMI KOMBE LA DUNIA MESSI ANAONGOZA KWA SASA AKIWA NA ASSIST SITA KOMBE LA DUNIA.
ILA CHAAJABU MVIZIAJI RONALDO SIMUONI.
WEWE ULITAKA MAAJABU GANI MKUU?!
HIZO ASSIST ALIPEWA TU BILA KUONESHA KIWANGO AMA?!
TENA KATHUBUTU KUWAKARIBIA WAKUBWA PELE NA DONA ILA SIMWONI MVIZIAJI HAPO.
Mkuu soma kwanza nilichokiandika ndio utoe POVU[emoji3]
Acha kukurupuka kama bashite[emoji3]
Sijasema messi hana kiwango nachokisema ni kwamba Messi nje ya Barcelona hachezi kwa kiwango na huo ubavu anao uoneshaga barca hana,,,,
Professional players wote duniani akihama timu anaonesha maajabu yaleyale kama ile timu alioihama
Kwamfano Christian ronaldo aliondoka Man untd akiwa nyota akaenda madrid akazidi kua nyota
Ronaldinho aliondoka milan akiwa nyota ea italy akaenda barcelona akazidi kuwa nyota
Kina rooney walitoka everton wakaja man untd wakawaka zaidi
Na kina fabregas kina kaka kina coutinho na wengine wengi tu
SASA NIKUULIZE SWALI MOJA,
Timu ipi messi alihama akiwa nyota akaenda timu ingine akazidi kuwa nyota?????
KAJAMAA KAPO HAPOHAPO BARCA TANGIA MIAKA13[emoji3]KANAZEEKEA HUMOHUMO[emoji3]
Tim kibao duniani zimetoa dau na dau lkn hakataki kuondoka kalishajijua[emoji3]
Mfano hai timu ya Taifa hakajawahi kuonesha maajabu hata siku moja,,lkn timu ya taifa ya spain ilishawahi kuchkua kombe la dunia miaka ya juzi tu
Argentina mara ya mwisho kuchkua ni miaka ya kina maradona[emoji3]
 
Lionel Messi is the all-time assist leader in Copa América history having delivered a total of 12 assists. He is also the all-time record holder of man of the match awards with 10 wins overall.
12 assists – Lionel Messi (1 in 2007, 3 in 2011, 3 in 2015, 4 in 2016 and 1 in 2019)
Most man of the match awards won in tournament's history
10 wins – Lionel Messi (2 in 2011, 4 in 2015, 3 in 2016, 1 in 2019)

HUYU MNAEMSEMA KIANDE ANAVUNJA RECORDS ZA KINA MARADONA NA KUWEKA ZAKE
Hebu tuhabarishe La Pulga ana assist ngapi huko Copa America? Japo kuwa sikatai ni kweli Brazil kabebwa sana kwenye hii michuano
 
The adidas Golden Ball is given to the outstanding player at the FIFA World Cup. The players who finish second and third are given the Silver Ball and Bronze Ball respectively. [3]
Golden Ball: Lionel Messi
Silver Ball: Thomas Müller
Bronze Ball: Arjen Robben

Lionel Messi is the all-time assist leader in Copa América history having delivered a total of 12 assists. He is also the all-time record holder of man of the match awards with 10 wins overall.
12 assists – Lionel Messi (1 in 2007, 3 in 2011, 3 in 2015, 4 in 2016 and 1 in 2019)
Most man of the match awards won in tournament's history
10 wins – Lionel Messi (2 in 2011, 4 in 2015, 3 in 2016, 1 in 2019)

Only player to score in his teens, his twenties and his thirties in world cup
Lionel Messi Argentina ( 2006 , 2014, and 2018) [9]
[10]

World Cup
Player winning most MOM Awards
Country
Number of Awards
2002 South Korea/ Japan
Rivaldo
Brazil
3
2006 Germany
Andrea Pirlo
Italy
3
2010 South Africa
Wesley Sneijder
Netherlands
4
2014 Brazil
Lionel Messi
Argentina
Lionel Messi news: Barcelona captain has the most Man of the Match awards this season

NJE YA BARCA KAWEKA RECORDS HIZO JE RONALDO AMEWEKAAA?!
YEYE KWA SASA KTK MAN OF THE MATCH AWARDS ZA WORLD CUP NDIYO ANAONGOZA KACHUKUA MARA NNE ASA UTASEMAJE HANA UWEZO NJE YA BARCA.?!
BARCA NDIO IKIMKOSA MESSI INAFELI.
AU HUKUWASIKIA CATALANS WAKISEMA IN BARCA NO MESSI NO PARTY?!
YANI MESSI ASIPOKUWEPO BARCA HAMNA PARTY .
BARCA NDIO INAMUHITAJI MESSI.
KWASABABU NI PLAY MAKER SIO MVIZIAJI KM RONALDO.
NA YEYE HAKUGOMA KUONDOKA KIPINDI AMBACHO GUARDIOLA ANAMTAKA LAKIN MABOSI WALIMWEKEA GUARDIOLA OBSTACLES ZA KUMCHUKUA MESSI IKABIDI YEYE ABAKI.
KWASABABU HE OWES THEM LIFE WAMEMSAIDIA MENGI KWAHIYO ANAWASIKILIZA YEYE AONDOKE AU LAA.
BARCA WAKAGOMA YEYE AKABAKI.

Ronaldo ana makombe mawili makubwa amepata na timu ya taifa...
 
Hiyo ni team records NIONESHE record binafsi alojiwekea.
Maana ukizungumzia EURO final WAMESHINDa madogo yeye kaja kuinua tu kwapa.
UEFA nations league WAMESHINDA madogo yeye kaja kuinua kwapa.
Ukisema KOMBE hata mbappe kamzid Ronaldo yeye ana world cup 2018 lakin hana tuzo binafsi za kumfanya aweke records binafsi km mchezaji bora.
Team inapofeli anaangaliwa mchezaji nini kafanya japokuwa team imefeli.
Ndio maana jamaa japokuwa Argentins imefeli yeye amejaribu kutetea ubora wake na kujiwekea hzo records.
Ni sawa na Aubameyang wa arsenal.
Arsenal imefeli ila yeye Aubameyang Kajiwekea heshima ya tuzo binafsi Epl league.
Na ndivyo inavyotakiwa.

Kwaiyo msimu huu unapendekeza nani apewe balon 'd'or
 
Kiujumla yey ndiye anaongoza kwa michuano ya copa America ana 12 assists na Kiujumla na yeye ndiye top assist ktk michuano ya copa America.
Nani kakuuliza kiujumla nimekuuliza 2019 au ulikuwa hujaelewa swali ? Japo Brazil kabebwa mpaka kero
 
Write your reply...
wabongo kwa uzushi hamjambo.
ile team ya argentina ina kitu imemkosea mungu sio bure
mess anajitahidi kuibeba ila timu inakosa muungano kila mtu anacheza kivyake
 
Kamfanyia nani roho mbaya?!
Embu mtaje alofanyiwa roho mbaya na messi ?!
mkuu nipo na popcorn apa nacheki battle lako na hao wajinga.
hao wajinga peke yako wamekushindwa unawaweza kabisa
 
Write your reply...
wabongo kwa uzushi hamjambo.
ile team ya argentina ina kitu imemkosea mungu sio bure
mess anajitahidi kuibeba ila timu inakosa muungano kila mtu anacheza kivyake
Ile timu ina laana ya kutuua mablack ili wabaki watu weupe nitawaombea milele waendelee kufanya vibaya
 
Back
Top Bottom