Didier kimbangu
Senior Member
- Jun 12, 2016
- 159
- 93
That affects a lot the market of brand new cars. One thing that also favors Kenya over it's neighbors is good and already available infrastructure. Kenya has a lot of bus and trucks fabricators ukiingia hata kwa small towns and estates utapata wako. Till date Kenya still fabricates a lot of trucks and buses for the entire region that is East and Central Africa.I can confirm that it is true. I think mwisho ni 12 years.....not sure lakini
Lol kenya annually imports 119,000cars of this 25,000 are Brand new
Ethiopia Is second with only 3000 brand new and 25,000 imports
Mtaishi mkisema wakenya ni Maskini Lakini Umaskini wetu sio wenu!!
Tell us how you gonna benefit ftom this. Mfano kodi, ajira na mambo mengine. Hicho ndio muhim.Wapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
Serious? I'm disappointed as well!Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Yeah absolutely including some toysLol kenya annually imports 119,000cars of this 25,000 are Brand new
Ethiopia Is second with only 3000 brand new and 25,000 imports
Mtaishi mkisema wakenya ni Maskini Lakini Umaskini wetu sio wenu!!
Za kuambiwa changanya na zakoSomeone told me Tanzania and Uganda one can import a car past 8 years old, if it's true that's a major problem.
Acha uongo wewe.
Low appetite for imports helps narrow Kenya’s trade deficit
By Dominic Omondi | Updated Thu, January 19th 2017 at 00:00 GMT +3
Volume of vehicles sold last year plunged 30 per cent, with the industry selling about 13,535 units compared to 19,523 units a year earlier.
Low appetite for imports helps narrow Kenya’s trade deficit
Umekosea swali lako ilitakiwa kuuliza hivi nini tunacho sisi watz ambacho Kenya awana kinacho sababisha wawekezaji kuwekeza Kenya Jibu ni ili Tanzania tulichonacho kinacho kimbiza wawekezaji ni CCM NA MZEE WA PHDWapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
Sidhani kama viwanda vya aina hii tunavihitaji, tunahitaji viwanda vinavyozalisha bidhaa zinazotumika kwa wingi katika soko la ndani. Idadi ya magari mapya yanayonunuliwa kwa mwaka Tanzania hayafiki hata 10,000, unataka assembly ili umuuzie nani wakati soko la ndani ni dogo?
Hao tunaowacriticize sisi ndo tunajua udhaifu wao mkuu! Na pengine kunaweza kukawa na difference kati ya politians wa tz na Kenya! Hapa hawa watu wanaegemea sana kwenye misingi ya vyama vyama vyao na kuacha taaluma zao!C'mon, kwani wakuu wa wilaya cannot be fit for the job? Kama ako na kisomo, and good administrator at that, give him a chance.
MK254, hivi una uhakika kauli ile? Kama unataka tukuoneshe sifa za hao watu kwenye writings halafu uone kama ni hizo za darasa la saba!Mngekua mnajiuliza maswali kama haya nina uhakika by now mngekua mumepiga hatua kali, sio kule kujipiga kifua kila siku bila kutumia akili na kuponda Kenya kama kwamba ndio adui wenu mkubwa.
Mleta mada huu uzi umedhihirisha uzalendo wako kwa nchi yako, na unaonyesha upo open minded and you have best interest for your country.
Tatizo la nchi yenu kuna sera nyingi mnafaa kuanza kuzifanyia kazi, nilishangaa sana kwenye sakata la vyeti feki eti kwamba vigezo vya mawaziri na wakuu wa mikoa na wanasiasa ni darasa la saba, kwamba ukijua kuandika na kusoma inatosha na unaweza ukasimamia wizara nyeti.
Kauli kama hizo lazima zinatamausha wasomi kwenye nchi yenu, maana wanaishia kupewa maagizo na amri kutka kwa hao hao viongozi ambao elimu ni zero.
Duh, Tanzania is a pain in one's ass, i see!
Sawa, I sew your point.Hao tunaowacriticize sisi ndo tunajua udhaifu wao mkuu! Na pengine kunaweza kukawa na difference kati ya politians wa tz na Kenya! Hapa hawa watu wanaegemea sana kwenye misingi ya vyama vyama vyao na kuacha taaluma zao!
Hiki ndicho kinatusababisha tusiwe na imani nae!
MK254, hivi una uhakika kauli ile? Kama unataka tukuoneshe sifa za hao watu kwenye writings halafu uone kama ni hizo za darasa la saba!
Ndo maana napingana na Iconoclastes anaposema kuwa mwanasiasa aloteuliwa kuwa boss wa TIC yuko fit kwa hyo kwazi maana tunajua madhaifu ya wanasiasa wa Tanzania! Wako radhi kusema na kufanya chochote kwa interest za vyama vyao not for the nation