Alafu kuvutia wawekezaji ni kazi ya TIC. Ningekuwa rais nampa siku saba huyo boss wa TIC nisikie Hyundai au Nissan wanafungua kiwanda bongo lasivyo nalifumua litaasisi lote!
Hao AVIC wenyewe unaowasema wanajenga makao makuu yao kwa Afrika nzima jijini Nairobi. Naskia hilo jengo litakuwa one of the tallest in Africa (zaidi ya floor 70 kama sijakosea)Unapo zungumzia infrastructure unazumgumzia barabara na madaraja au officers and factory spaces. Au umeme na maji?? Kiwanda cha matreka kiko katika hatua za mwisho, kampuni ya AVIC International Beijing karibu kuanza kujenga heavy industrial machinery (earth excavators etc) tena wanatumia chuma chetu cha hapa hapa Tanzania.
Hivi situation ya kodi Kenya ikoje? How much is their corporate tax rate?Mkuu
Ndiyo infrastucture na umeme ni moja ya sababu. Lakini pia kodi ni moja ya tatizo kubwa sana Tanzania.
Mfano hivyo viwanda vinaingiza vipuri vya ku assemble hayo magari ama kitu chochote na ukiangalia pale bandarini tax yake inazidi thamani ya hicho kipuri kinachoingizwa. Ukitoka hapo, akitengeneza faida baada ya kuuza tuseme gari anakatwa cooperate tax ya 30%.
Nani mjinga wa hivyo? na hata akiwa mjinga akaendelea bas bei ya hicho kitu anachotengeneza itakuwa ni 300% kwa mteja wa mwisho. In return, hatafanya biashara bidhaa yake inakuwa bei kali na hatauuza kitu na hivyo inamfanya mtumiaji wa mwisho bora anunue kutoka korea hilo gari alipe tax bandarini 150%
Tanzania ishushe tax hadi around 10% at the very most. hii iwe income, import, cooperate na hata kwenye bank unapokopa interest rate yapaswa kua hivyo.
Geza bhana!!!Ile position ipo sensitive inahitaji vetting na si uteuzi wa rais! Mwambe hana CV ya kupewa cheo kile kama unabisha leta CV yake hapa!
C'mon, kwani wakuu wa wilaya cannot be fit for the job? Kama ako na kisomo, and good administrator at that, give him a chance.
Wapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Peugeot, Ashok Leyland, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
Reading
1. Volvo Expands Truck Building Into Fast-Growing East Africa
2. French Automaker Peugeot To Assemble Cars In Kenya
3. Volkswagen targets East Africa with Kenya car assembly plant
4. India’s Ashok to set up assembly plant in Kenya
5. Italian automaker makes comeback with Sh2.3b assembly plant
Baba, hiyo news ya zamani. Ukitaka kujuwa wachina wako wangapi Tanzania nenda mchuchuma, mpaka ubalozi wao mdogo huko.Hao AVIC wenyewe unaowasema wanajenga makao makuu yao kwa Afrika nzima jijini Nairobi. Naskia hilo jengo litakuwa one of the tallest in Africa (zaidi ya floor 70 kama sijakosea)
Avic International to build Africa HQ in Nairobi - Capital Business
Wapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Peugeot, Ashok Leyland, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
Reading
1. Volvo Expands Truck Building Into Fast-Growing East Africa
2. French Automaker Peugeot To Assemble Cars In Kenya
3. Volkswagen targets East Africa with Kenya car assembly plant
4. India’s Ashok to set up assembly plant in Kenya
5. Italian automaker makes comeback with Sh2.3b assembly plant
Umeonaa ehe! Pamoja na one stop investment centre, tax incentives na investment potential kibao, investors are also keen to see kitu kidogo tu lakini chenye maana kubwa.sana kibiashara; PREDICTABILITY. Ndio maana uliona wenzetu South Africa, Zuma alipomfuta kazi waziri wa fedha Pravin Gordhan nchi ilitikisika, credit rating ya SA ikashuka. Investors are keen to have a safe pair of hands handling the economy; PREDOCTABILITY is the key word, kauli za kuinyoosha nchi wawekezaji wengi wanazichukulia kama hatua za mwanzo kuelekea kwenye COMMAND ECONOMY na NATIONALISATION, Jambo ambalo hata Warusi, eastern europe na china waliacha miaka 30-40 iliyopita, and they are watching closely!Wapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Peugeot, Ashok Leyland, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
Reading
1. Volvo Expands Truck Building Into Fast-Growing East Africa
2. French Automaker Peugeot To Assemble Cars In Kenya
3. Volkswagen targets East Africa with Kenya car assembly plant
4. India’s Ashok to set up assembly plant in Kenya
5. Italian automaker makes comeback with Sh2.3b assembly plant
This is totally political perspective and not economical wise. Did you go back before 2015 election? Did we see TZ compete with KE on industrial investment? This thread is too technical for an average politician more or less for a sore loser(who lost TZ 2015 general election). Instead of whining around, go shake your head you might know where you stumbled.Umekosea swali lako ilitakiwa kuuliza hivi nini tunacho sisi watz ambacho Kenya awana kinacho sababisha wawekezaji kuwekeza Kenya Jibu ni ili Tanzania tulichonacho kinacho kimbiza wawekezaji ni CCM NA MZEE WA PHD
Siamini kuwa hii post inatoka kwa "barafuyamoto", kindakindaki wa ccm na serikali yakeDuh, Tanzania is a pain in one's ass, i see!
Mwanzi1 tatizo hivi vitu havitangazwi vizuri, PR kwa serikali zetu za Tz imekuwa shida sana, wanaweza fanya mambo mengi mazuri ila kama watu wa PR hawako active watahukumiwa vibaya baadae.Unapo zungumzia infrastructure unazumgumzia barabara na madaraja au officers and factory spaces. Au umeme na maji?? Kiwanda cha matreka kiko katika hatua za mwisho, kampuni ya AVIC International Beijing karibu kuanza kujenga heavy industrial machinery (earth excavators etc) tena wanatumia chuma chetu cha hapa hapa Tanzania.
Ujui uhusiano wa siasa viongozi na uchumi pole sana kwani hiyo miaka CCM aikuwepo CCM ni tatizo kuu tzThis is totaly political perspective and not economical wise. Did you go back before 2015 election? Did we see TZ compete with KE on industrial investment? This thread is too technical for an average politician more or less for a sore loser(who lost TZ 2015 general election). Instead of whining around, go shake your head you might know where you stumbled.
Mimi nataka nikuambie hii hali ya kutokuchukua hatua au kutojua tuweke mkazo wapi ipo ktk akili ya watanzania majority kama vile imekuwa printed kwenye DNA yetu. Haiko kwa hilo lichama lao CCM wala kwa machama mengine ya upinzani. Ukitaka kujua ukweli huu utaona mambo yanayoendelea huko upinzani karibu vyama vyote ni aibu kubwa. Kwa mfano lichama la CHADEMA sasa lina miaka zaidi ya 20 lakini halina hata ofisi wala halijafanya uwekezaji wowote mkubwa wala halijajiimarisha kitaasisi na juu ya yote wakalichukua li-ccm liliokubuhu kwa corruption allegations ndio wakaliweka tulichague liwe raisi. Ukirudi huko NCCR aibu, ukienda huko CUF ni uozo na uvundo kichefuchefu. Sasa let us say tungempa Mamvi nchi si angeleta mambo yake ya ki-ccm hali ingekuwa vilevile?Ujui uhusiano wa siasa viongozi na uchumi pole sana kwani hiyo miaka CCM aikuwepo CCM ni tatizo kuu tz
Sureyou are facing the same problem that the U.S.A will face under Trump, go figure