Concerns About Electoral Integrity: Is WHO Africa Addressing Fraud in Janabi's Candidacy?

Hii imenikumbusha story ya mheshimiwa mmoja pale Kenya aligombea ubunge. Lakini familia yake mke na watoto walijitokeza hadharani kumpinga huku wakiwa naye nyumba moja kuwa hafai na wanamuunga mkono mwingine na walisema kama familia tu inamshinda ataweza jimbo?
 
country that has a history of electoral malpractices and vote rigging.
Doesn’t matter that much hata ukishinda kwa ‘bila’ au ‘uhalali’

Dira za ‘WHO’ ni based on research, kwa mantiki hiyo hata ikitokea “Janabi” (maana wa Africa-tuna upumbavu wetu).

WHO haiwezi promote diet za Janabi miska 800.

Sera za afya za WHO miongozo yake ni based on empirical researches.

Taahira anaeongea ujinga kama Janabi alishinda ni kipimo cha upeo wetu mdogo. As far as medics technocrats wa huku kijijini kwetu Ndugulile hakuwa na sifa ya kusimamia hata Hospitali ya Mkoa.

Kwa kuwasikiliza madaktari wa Tanzania, walau ‘Dorothy Gwajima’ anaweza pewa usimamizi wa Hospitali ya borough.

Wengine hawana sifa
 
Hilo SoMo halifai kwa WEZI na mafisadi?? Waliokula pesa kadiri ya ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali
 
Kweli mpo serious mnatuma mhagama akapige debe kwa walami na mnategemea matokeo? Mnafikri uchaguzi wa vitongoji huo? 😛 😛
Gentleman,
Prof. Janabi sio candidate wa Waziri Muhagama au waziri Kombo.
ni candidate wa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa WHO kanda ya Africa kutoka Tanzania kwa manufaa ya waafrica wote
 
Gentleman,
Prof. Janabi sio candidate wa Waziri Muhagama au waziri Kombo.
ni candidate wa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa WHO kanda ya Africa kutoka Tanzania kwa manufaa ya waafrica wote

Tumezoea comedy zenu tunasubiri episode ifuatayo...
 
Hakuna asiyependa hela na investment nzuri hapa TZ. Kalagabao.
 
Uzalendo haufundishwi mkuu, bali ni hali ya mtu kupienia nchi yake kwa dhati ya moyo wake. Na hali hiyo ni matokeo ya mtu kuridhishwa na anavyothaminiwa na nchi yake. It’s a give-and-take phenomenon.
 
Hii ndiyo document ambayo tayari voters wameshaisoma
 

Attachments

Gentleman,
Prof. Mohamed Janabi atahusika na masuala ya ustawi wa afya za watu wote kanda ya africa, na si vinginevyo
Tanzania ranks among the poorest countries in the world. We need him here, he cannot even express himself in fluent language- English
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…