Concerns About Electoral Integrity: Is WHO Africa Addressing Fraud in Janabi's Candidacy?

Concerns About Electoral Integrity: Is WHO Africa Addressing Fraud in Janabi's Candidacy?

Some people speak because they have something to say, others speak because they have to say something. I guess you belong to the latter category
I think its good to stick on the motions without mayhem :pulpTRAVOLTA:
 
Why ask this question today?,huku sio kumsagia mtu wetu kunguni?!,sio kila kitu ni siasa!Kiukweli somo la uzalendo kwa watu wetu,linahitajika sana!,Mtanzania anawania an international prestigious position ,badala ya Watanzania tuungane kuwa kitu kimoja nyuma yake tumpush,ndio kwanza wengine wanamsagia kunguni kwa hoja muflis za siasa za ndani!。
P
Kwa hiyo Mzee Pasco hiyo ndo maana ya uzalendo?
 
Why ask this question today?,huku sio kumsagia mtu wetu kunguni?!,sio kila kitu ni siasa!Kiukweli somo la uzalendo kwa watu wetu,linahitajika sana!,Mtanzania anawania an international prestigious position ,badala ya Watanzania tuungane kuwa kitu kimoja nyuma yake tumpush,ndio kwanza wengine wanamsagia kunguni kwa hoja muflis za siasa za ndani!。
P
Siasa za kenya hizi
 
Mkuu upo sahihi but Uzalendo ni two ways trafficking……kwanini uzalendo uwe kwa wananchi na sio Viongozi as well .

Tabia zinazooneshwa na watanzania sio tabia zao halisi, ni aftermath ya tabia za viongozi

Imefikia hatua watanzania wanafurahi kusikia viongozi wao wamekufa. Ukipitia mitandao utaliona hilo. Tanzanians feel betrayed na mfumo
I wish huu ujumbe ungekua posted everywhere

Uzalendo ni wa wote

Na chuki tunayoiona haitoki hewani

Ilo shida mahala
 
Back
Top Bottom