I think its good to stick on the motions without mayhemSome people speak because they have something to say, others speak because they have to say something. I guess you belong to the latter category
I must explain things in details so that we all understand gentleman !You talk too much
Kwa hiyo Mzee Pasco hiyo ndo maana ya uzalendo?Why ask this question today?,huku sio kumsagia mtu wetu kunguni?!,sio kila kitu ni siasa!Kiukweli somo la uzalendo kwa watu wetu,linahitajika sana!,Mtanzania anawania an international prestigious position ,badala ya Watanzania tuungane kuwa kitu kimoja nyuma yake tumpush,ndio kwanza wengine wanamsagia kunguni kwa hoja muflis za siasa za ndani!。
P
Mayhem! I’m not sure if I’m reading you rightI think its good to stick on the motions without mayhem
DaaàaaJenIsta, a lady entrusted for fraud and corruption during electrol processes is in Geneva to assist Janabi. Are her fraud tactics going to work in favour of Janabi?
relax then,Mayhem! I’m not sure if I’m reading you right
Uzalendo ni kuipenda kwa dhati nchi yako na kutanguliza mbele maslahi ya taifa。Kwa hiyo Mzee Pasco hiyo ndo maana ya uzalendo?
Siasa za kenya hiziWhy ask this question today?,huku sio kumsagia mtu wetu kunguni?!,sio kila kitu ni siasa!Kiukweli somo la uzalendo kwa watu wetu,linahitajika sana!,Mtanzania anawania an international prestigious position ,badala ya Watanzania tuungane kuwa kitu kimoja nyuma yake tumpush,ndio kwanza wengine wanamsagia kunguni kwa hoja muflis za siasa za ndani!。
P
I wish huu ujumbe ungekua posted everywhereMkuu upo sahihi but Uzalendo ni two ways trafficking……kwanini uzalendo uwe kwa wananchi na sio Viongozi as well .
Tabia zinazooneshwa na watanzania sio tabia zao halisi, ni aftermath ya tabia za viongozi
Imefikia hatua watanzania wanafurahi kusikia viongozi wao wamekufa. Ukipitia mitandao utaliona hilo. Tanzanians feel betrayed na mfumo
Na Kulaani wanaotishia ustawi na maslahi ya taifaUzalendo ni kuipenda kwa dhati nchi yako na kutanguliza mbele maslahi ya taifa。
P
Huo ujinga anaweza kuufanya huku bongo, sio kuleCCM imekwisha mpeleka Nape wa bao la mkono akafanye yaliyozoeleka.
Kashinda, na ushindi huu unaonesha kuwa sio mengi "wishful thinking" yanaonekana tunapohisi yanaonekana kweli!! Mengi huishia humuhumu, nje ni kweupeee!!!duh。。。!
P