Confession about wauza mihogo coco beach

Mkuu umeandika kwa uchungu sana😀
 
Kwanini uende COCO BEACH wakati siyo levo zako
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana😀
Hapana nazungumzia from eksipiriensii
Kila jpili kama Leo hua natengeneza mwenyewe mishikaki ya kula na familia nusu kilo tu naenjoy na wanangu bbq ya kihome home tukienda Coco ni kupunga upepo tu
 
Starehe gani sasa kwa hivyo vimishikaki kama karanga?! Si waweke nyama za kueleweka.
Kama havifai achana navyo
Toka kwako umekula
Fika coco beach
Chezea mchanga na konokono wa baharini
 
Daaah sawa mkuu ila nadhani nyinyi wenye level ya juu ndo mmefanya coco beach iwe ya kitapeli


Wakienda mahotelini soda tu wanauziwa 2000 Hadi 3000 na hawalalamiki ila Coco Beach wanalalamika hovyo
 
Hapana nazungumzia from eksipiriensii
Kila jpili kama Leo hua natengeneza mwenyewe mishikaki ya kula na familia nusu kilo tu naenjoy na wanangu bbq ya kihome home tukienda Coco ni kupunga upepo tu
Mkuu unaitendea haki sana familia
Jilaymu mwenyewe waliizaliwa kwenye hela wapo wachache,wengi wamezitafuta,tafuteni nanyi mtapata
Au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…