KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
- Thread starter
- #61
Mkuu umeandika kwa uchungu sana😀Usipate shida Mzee nenda buguruni sokoni nunua mihogo ya elfu 2 nyama robo elfu 3
Tangawizi 200 kitunguu swaum 300
Tengeneza mishikaki Yako uki kata portion ndogo size ya inayo uzwa mia5 uta pata mishikaki 8-9
Kwa hiyo mihogo ya efu mbili uki kaanga mwenyewe utakula hata siku 3 na hizi gharama zote ukiweka mkaa na mafuta hazifiki hata elfu10 ....