Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mnakula vibudu dadeki zenu 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C. Beach wamevunja rekodi na mganga wao apewe hongera
NI utapeli tu kama ilivyo NDOA 😂
kabisa kabisa mkuu.Mtu analalamikia mishkaki ya chelewa za ufagio kwamba anapigwa.Raha ya kutumia hela.
Upate majuto
Yenyewe isije kuwa ya meew,woow na zingine zisizo za kawaaiiidaaaSalaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.
Sasa kama wanajamvi naomba tusaidiane namna ya kukabiliana na wahuni hawa.
Tupatie mbinu ya kuhakikisha hauingii kwenye upigaji wa hawa jamaa.
Tutachoma nyumbani mkuu, then tunabeba🤣🤣🤣Shida sio mihogo.
Shida ni mishikaki😂😂
Shida sio mihogo.
Shida ni mishikaki😂😂
Asante.Uchokozi tu.My apologies.Upo vizuri.Sijawa perfect sana kwenye uandishi mkuu.
Tuelekezane pole pole tutafika hizo level zenu
Wasitutishe na mishkaki yao, kwanza ya mbwa ile🤣UTamu kunoga
Wanatengeneza na zaidi, hapo bado hawajapiga wageniMishikaki ya coco beach ni sawa ma punje ya mahindi.
Hao kwa kilo wanaqeza kutengeneza 100k
Hujalazimishwa kula,wamelenga wateja wao maalumu,hasa wahindi wenye hela za ndagu sio sisi hoe haeSalaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.
Sasa kama wanajamvi naomba tusaidiane namna ya kukabiliana na wahuni hawa.
Tupatie mbinu ya kuhakikisha hauingii kwenye upigaji wa hawa jamaa.
Kwanini uende COCO wakati siyo levo ZAKOSalaam wana jukwaa.