Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
DHARAU kubwa kuwahi kutokea jfJilaymu mwenyewe waliizaliwa kwenye hela wapo wachache,wengi wamezitafuta,tafuteni nanyi mtapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DHARAU kubwa kuwahi kutokea jfJilaymu mwenyewe waliizaliwa kwenye hela wapo wachache,wengi wamezitafuta,tafuteni nanyi mtapata
Ina maana hako kamshikaki kamoja wanakauza wastani Sh 2,500!10-15
Wanakata vidogo...Iyo ni nyama ya kifaranga cha kuku au
Nipo JF huku naangalia mpira.Mumo kwa pale.Hiyo ndo level yako ya uandishi ama umefanya mzaha anko 😀
Ila ndio hivyo kuna raia nao wanazo pesa za bure bure za kuchezea na kutapanya, kuna walimbukeni na washamba wanaoingia mjini kila siku kwa hiyo acha wajanja wapige pesa tu, hili ni soko huria, kufa kufaana.Weka nyama za kueleweka ambia watu hata 3000 watanunua.
Sio utapeli ule wanaoufanya
Kwani lazima ule mihogo?😂Tutakwenda na mihogo yetu🤣
Nimechekaconfession about
Kama wewe tu unavyofataga nyama choma kwa Mrombo...😅Huku mkoani mihongo tunachimba shambani.
Daslamu inaonekana kuna mambo mengi sana mpaka watu mnafuata mihogo baharini.
Waruhusiwe wauza mihogo na wauza mishikaki wowote wafunge miamvuli hapo wafanye biashara, sio hao wauza mihogo wa TikTok na Instagram tu, beach ni mali ya umma.Kama havifai achana navyo
Toka kwako umekula
Fika coco beach
Chezea mchanga na konokono wa baharini
In Chalamila voiceKama huna afu hamsini, nenda kwa mumeo, mpe frampeni, mwambie akupikie nyumbani.
Usicheke segito.Utapewa adhabu utafune mikusu na numbu visado vitatu bila half-time.Nimecheka
Haahha..numbu..dah tasteless..sijui ladha iko upande ganiUsicheke segito.Utapewa adhabu utafune mikusu na numbu visado vitatu bila half-time.
Beba mihogo na mishkak yako kwenye kapu uende nayo, siyo lazima ununue kwetuSalaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.
Sasa kama wanajamvi naomba tusaidiane namna ya kukabiliana na wahuni hawa.
Tupatie mbinu ya kuhakikisha hauingii kwenye upigaji wa hawa jamaa.
Mkuu, mkiuziwa bei nafuu pia si mtakuwa na walakini wa chanzo cha hiyo mishkaki?Kwani mnakwenda beach kula ama kupata upepo wa Bahari?
Wakienda mahotelini soda tu wanauziwa 2000 Hadi 3000 na hawalalamiki ila Coco Beach wanalalamika hovyo