Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza mihogo na mishikaki wa uswahilini wanaruhusiwa kuleta mihogo na mishikaki yao hapo kwenye ndoo kuwauzia walalahoi ??Beba mihogo na mishkak yako kwenye kapu uende nayo, siyo lazima ununue kwetu
Kuna Open spaces gani za mtu kupumzika Dar zaidi ya beach kama huko Coco??Kwanini uende COCO wakati siyo levo ZAKO
Ndiooooo🤣Kwani lazima ule mihogo?😂
Endelea kujipatia mihogo milaini & mirinda nyeusiNdiooooo🤣
Yeah, nyama za Dar mkuu! Huku watu kanafakamia vifaranga vya wiki 4!Iyo ni nyama ya kifaranga cha kuku au
Eeewaaaaa!Endelea kujipatia mihogo milaini & mirinda nyeusi
Watu wa Dar wa ajabu sana! Unakulaje muhogo na nyama?
Salaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.
Sasa kama wanajamvi naomba tusaidiane namna ya kukabiliana na wahuni hawa.
Tupatie mbinu ya kuhakikisha hauingii kwenye upigaji wa hawa jamaa.
Kachumbari yao wanavyoimiksi,hunikumbusha zamani tukienda fua nguo mtoni, kachumbari ile maradhi tupu,kama ya yule nani bonge sijui pale kinondoni,sharti uharisheWakienda mahotelini soda tu wanauziwa 2000 Hadi 3000 na hawalalamiki ila Coco Beach wanalalamika hovyo
Where is the CONFESSION?Salaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia.
Sasa kama wanajamvi naomba tusaidiane namna ya kukabiliana na wahuni hawa.
Tupatie mbinu ya kuhakikisha hauingii kwenye upigaji wa hawa jamaa.
MhhYani unaenda kula mihogo?? Tu au kuna lingine
Sehemu yoyote yenye mawinga upigaji haukosekani
Mmmmmh aisee huu ni unyang'anyi wa kutumia hudumaPortion ya mishikaki 25k 😂
Mambo ya hovyo sana,Wale mawinga wa coco hawana tofauti na wale wa soko la karume. Kuna watu wanaamka asubuhi wanaenda Coco kwa kazi ya udalali kwenye ile mihogo na vimishkaki.