Confession: I miss U so Much NAKADORI

Confession: I miss U so Much NAKADORI

Naona hii ndio namna mpya ya kuiomba, kwa kutoa thread ya mtu unaemtaman na humjui wala hauna uhakika na jinsia yake.

Siku si nyingi jambo litampata mtu humu na mtajutia sana.

Acheni ushamba na udomo zege, ukimuelewa mtu mfuate inbox huko, ama vip wanawake wote mitaan mmewashindwa mnakuja humu mafichoni kutongoza bila kuonekana.


Kenge nyie
 
Back
Top Bottom