Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Nilikuwa Na Mpenzi Wa Muda Mrefu Sana Kutokana Na Mahangaiko Ya Dunia Akaja Kuolewa Lakini Hatua Zote Alikuwa Ananifahamisha Sasa Nilpoweka Makazi Ya Kudumu Akawa Anataka Kuja Kunitembelea Nami Sijaoa Nikajaribu Kumkwepa Siku Hiyo Anapiga Simu Kuwa Atakuja Nikapuuza Akanitumia Sms Nipo Hapa Stendi Ongea Na Bodaboda Muelekeze Anilete Muda Huo Kama Saa 4 Usiku, Dah Nilichoka Bahati Nilikuwa Mitaa Ileile Nikamfuata Nikawa Namsomesha Nimkodie Taxi Arudi Akagoma Kwa Kuwa Alimuaga Mr Wake Kuwa Anaenda Harusini Hatorudi Alipofika Kwenye Harusi Wakafanya Maujanja Na Shosti Yake Akaja Kwangu Daaah Sikuwa Na Namna Tukafika Gheto Kwa Kweli Ulikuwa "MKESHA WA XMASS" Ila Baadae Nilijutia Sana Nimempiga Mkwara Atulie Na Mr Wake,isitoshe Mr Wake Ni Ustaadh Naogopa Kusomewa Al-Badil Sasa Hivi Sitaki [HASHTAG]#MAZOEA[/HASHTAG] Naomba MUNGU Anisaidie Nisirudie Kutembea Na Mke Wa Mtu [HASHTAG]#SUMU[/HASHTAG]
 
Ulifumaniwa??
ee bwana..nilijaribu kujificha mle darini ila ilishindikana..ikawa vyema nikabiliane na lile janaume kwa kujikinga tu ila nilipokea mikumbo na miereka kibao..mwisho wa siku nililiomba radhi ila mtoto wa watu niliumizwa vibayavibaya...sina udole kwa huo upuzi tangu hapo
 
hongera kaka..huo ni ufuska hatari.kifo hasaa
 
Mitihani ya hapa dunian
1.Mali
2.Wanawake
3.Watoto
 
Mmenikumbusha engineer wangu pale mbeya (RIP), alikuwa ananipa hela ya maana miaka ile;
Miaka hii nipo na dogo mmoja mume wa mtu, tulikokutana najuwa mwenyewe.
hivi unalionea hilo fahari?kutoka na mume wa mtu!koma la sivyo utakuja lijutia hilo
 
Mmenikumbusha engineer wangu pale mbeya (RIP), alikuwa ananipa hela ya maana miaka ile;
Miaka hii nipo na dogo mmoja mume wa mtu, tulikokutana najuwa mwenyewe.
Eeeh hawavumi lakini wamo ? Unavyo waongeleaga binti zako sijui alipigwa hadi kuzimia na mwalimu

Nilikuwa nakuona mama mmoja na heshima zake kumbe hovyo tu ??
 
kiukweli,ni vigumu mwanamume
kuepuka
chambo kikikusudiwa kwako..ila si vema kuachilia ashiki na hawaa zako zikuburure hadi kwenye kitendo..hayo so maisha!!
 
Ilikuwa kama saa tatu Usiku, nikiwa namshusha rafiki yangu pale kituoni Korogwe ya Kimara...gafla likaja gari lav 4 Min, Kill Time likasimama mbele yangu, kwa hali ya Kushangaza nikaona dereva kashuka akafungua mlango wa mbele wa Kushoto kwake akamvuta Dada kwa nguvu nje kama haitoshi akampa na Bonge la bao, kisha akaingia kwenye gari akafunga mlango na kuondoka akimwacha yule Dada. Daa mm nilimwonea huruma kwani alikuwa Akili sana, nilishuka na kumfuata yule Dada pale, ukweli alikuwa ni zaidi ya Mrembo nyuma kajaliwa haswa nikaanza kumbembeleza na nikamsihi nimpeleke kwake kama hatojali. Nilipoingia nae kwenye gari nikaanza kumhoji yule nani? Akasema mumewe, nikashangaa nikauliza kulikoni akasema huwa anamnyanyasa sana sasa amechoka, alisema anakaa mbezi ya Kimara, nikamuuliza nimpeleke Mbezi aka nyamaza, nikamwambia twende basi sehemu tukae ili apunguze mawazo akakubali, kilichoendelea huko najuta mpaka leo, kwani hata sasa hivi ndo nimetoka kumsindikiza. Tuache kuwa nyanyasa hawa watu jamani, tuta gegedewa sana..tena kiulaini. ..
 
Cfdo fk .dn lobkkll $)). Dxdeeeee,d,
J
 
dedxd"dxxxxxxxdx"dedzd_dzssz@@#s
 
Find a way to forgive yourself....

Kuhusu suala la vijana na wamama ni kwamba halikwepeki....

Kuna dhana nyingi na sababu nyingi sana zinazosababisha jambo hilo lakini usisahau pia wanaume wenye umri mkubwa nao wanavikimbilia vibinti vidogo...

Lakini sababu zinazosababisha hayo zinatofautiana kutoka kundi moja hadi lingine....
 
Mkuu chunga sana,hao jamaa wanakuwaga na wivu sana alafu hawaongei sana wao ni vitendo tu.
 
sure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…