Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Pole mkuu, ila jaribu kushinda vishawishi hivyo. Usije kutembea na mke wa mtu kamwe hiyo ni laana
 
Every step u make have consequences, kuvuja laini that was a cowardly move..
 
Ah! Warangiiiiiiiii heshima kwenu
 
Reactions: SDG
Kuna watu wanastahili kunyongwa hadharani.
Ikiwa baba/mume akagundua mwanae na mkewe wanachukuliwa na mtu mmoja, yaani hata kukuchinja ataona haitoshi
Mkuu yupo mmoja katembea na bibi,mwanae na wajukuu wawili wa huyo mama, unajua uswahilini wanawake wengine kwa kutojua wanasimulia "jamaa fulani" anaimudu kweli shughuli yaaani ukimwangalia hafanani na ujuzi wake wa kumiliki "mechi"...sasa akina mama/ dada wakiskia hivyo wanatamani nao kuoja huo ufundi..na hapo ukute jamaa senti zipo zipo ndio kabisaaaa....
 
Mimi bwana kulikuwa na demu mmoja mnyamwezi wa Urambo, sikujua kama ana mme, nikamshobokea sijamtogoza, ila akatokea kuni mind, baadae akaniambia kuwa ameolewa na askari mmoja hivi, alikuwa ananivizia night njiani nikiwa narudi kwenye mishe zangu na kunikumbatia, kunipa escort na kunipiga ma kiss, siku moja mme wake aliumwa mguu akalazwa hospitali basi ndo ikawa chance yake kuja kwangu, nilimvalia condomu mbili ili kumkaza kwa kuwa sikupenda vile alivyomfanyia mumewe, nili mfuck roughly ili kumkomoa asinirudie tena, na kweli hicho ndicho kilichotokea hadi leo hanitaki, hata nikimjaribu kumtongoza tena. Baada ya kumpeleleza kwa nini umekuja kwangu wakati una mume akaniambia kuwa eti na mume wake ana toka na wasichana wengine hivyo na yeye analipa kisasi, nikamuona huyu demu pumbavu yaani mi ndo kaniona sehemu ya kulipiza kisasi...
 
Every step u make have consequences, kuvuja laini that was a cowardly move..
Ooow....was that so?? Okay why cant you take a partriotic measure on her if you care that much?? If i was a coward then you are an opposite of my side ..take her if you care to that extent.
 
Sasa simulizi gani unapofikia patamu unakwepesha na kupaziba? ilikuwakuwaje hadi ukaendelea na mamamtu badala ya mtoto mtu? Hiyo ndiyo hadithi.
 
Sasa simulizi gani unapofikia patamu unakwepesha na kupaziba? ilikuwakuwaje hadi ukaendelea na mamamtu badala ya mtoto mtu? Hiyo ndiyo hadithi.
 
Hii story nzuri sana tafadhali tuletee
 
Hahaha usirembe
 
Sasa ilikuwaje hadi ikapelekea kumkwangua
 
Reactions: SDG
Duh
 
Asingetoa tu hiyo mimba maana hakuna tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…