Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Duuu. Matusi mujarabu
 
aiseee mungu akurehemu
 
Reactions: SDG
Ndomana kuowa najifikiria sana
 
HAKIKA YA ZINAA NI DENI, MWENYE KUZINI NAYE ATAZINIWA, KUMBUKA UNAYEMZINI NI IMA MAMA WA MTU AU MKE WA MTU AU BINT WA MTU AU DADA WA MTU AU SHANGAZI WA MTU. HIVYO BASI JUA DENI HILO HALIEPUKIKI NA KAMA ULIZINI KWA LAKI MOJA BASI JUA MAMA YAKO, BINT YAKO, DADA YAKO, MKE WAKO, SHANGAZI YAKO etc,ATAZINIWA BILA HATA YA SHILINGI MOJA.

"MSIKARIBIE ZINAA, KWANI HAKIKA YA ZINAA NI UCHAFU NA NI NJIA MBAYA" QUR-AN 17:32
 
kuna majukwaa mengine ya dini,sio lazima upite huku na ukomenti na hizo aya zako
 
kuna majukwaa mengine ya dini,sio lazima upite huku na ukomenti na hizo aya zako
Hakika umesema, waache wanaona sina kuelezea uzinzi wao humu alafu wanataka kuacha eti, kizazi cha sasa shida kweli nimeamini watu hivi hivi anawaza michele na mashudu kuandika issue za kijinga hivi na jitu lina funguka ujinga alio ufanya unaona sifa kabisa eti nili kula mke wa mtu asa na wewe jua mkeo ana chengwa asaivi πŸ˜€ watu wana myosha
 
1st u don't even knw why PAL means do u?duuu aint my fault lkn

2nd-we huna dhambi?why don't u concentrate na dhambi zako na sisi tukakazia za kwetu?zetu zinakuhusu nn?

3rd-kama unaona kila post ni lazima u comment basi una shida ubingoni kwako but is your business so keep commenting mkuu and gud luck

4th -kwani ukiongea ndo wake za watu watacha kuliwa?
Nasisitiza kama una cha kujifunza jifunze kama hutaki acha haulazimishwi
Unakaza mnduku kama umeliwa mkeo bana aah bila hata aibu unatuletea vifungu vyako vitusaidie nn?kwani hua tunakualika tunapoenda kugegeda?kajam.be tikiti huko mada inasema tupe reason why ulicheat na make au mume wa MTU we unaleta madarasa yako ya kic.hoko hapa mngese kweli ww
 
Jiandae kugongewa na wa kwako pia
 
Reactions: SDG
acha ushambenga:

A.) Najua maana ya Pal na PAL. wewe kiazi mbatata kweli ain't my burden lakini.
B.)Mimi na dhambi ndo maana ya kua binadamu kunge kua binadamu wote awatendeni dhambi tunge kua wiped katika mgonog wadunia wakaletwa viumbe vingine ambao wanatenda dhambi ila mostly important wanao tubu. so na dhambi ila najitaidi kutubu nisiwe na midhambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama mlima kilimanjaro.
Na concentrate na zako na zenu maana tuna link www alafu una issue sensitive unajua uchungu wa mume wewe au wa mkee au unakurupuka tuh ku confess ujinga eti nimekula mke wa mtu unadhani ujanja ule????????
C.) si kila commment ni post kunguru wa capetown wewe, nime post kwa sababu sina shinda ubongoni na sio ubingoni hata ku type kuna kushinda na ninaendelea that's for the luck wish na mimi sio mkuuu kichwa nazi . πŸ˜€
 
Mkuu umetoa Aya yenye fundisho mpaka nikasema angalau watu wanaojielewa wapo.
Baada ya muda kidogo tu umetoa matusi mpaka nimebaki njia panda. Ni upi uhalisia wako mkuu?
Vifungu vitakatifu au matusi?
 
Duh.. Nielekeze nije kuchukua vyupi vizuri kwa ajili ya mke wangu
 
Reactions: SDG
Mkuu umetoa Aya yenye fundisho mpaka nikasema angalau watu wanaojielewa wapo.
Baada ya muda kidogo tu umetoa matusi mpaka nimebaki njia panda. Ni upi uhalisia wako mkuu?
Vifungu vitakatifu au matusi?
mkuu nisamehe mie binadamu, huyu mtu kani provoke nikalusha masumu hadi kupitiliza.... πŸ™ anyway nilikua nachangamsha tuh humu sikua serious kwenye kutusi na sijaona tusi ila yeye kani tusii
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…