"Ujana ni nusu ya uwendaazimu'Ni kitu ambacho najuta Maishani sana, Sema ilikuwa ujana, Nikifikiria huwa nakata tamaa sana, Hata leo nikipata tukio baya huwa naconclude ni uchafu wangu wa nyuma that's hope I have
kinga shamban mkuu?,Ulitumia kinga?
Amina na iwe ivyo kipenzi..Sijawah saliti ndoa yangu tangu kuolewa kwangu na haitotokea abadan Yarab mwenyezi Mungu nisimamie ktk hili
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀, dah, mkuu, wewe ni hatari aseeNilikutana nae barabarani akaniomba nimsindikize kwa mangi maana ilikuwa usiku, tukawa tunatembea wote kuelekea kwa mangi. Akanunua sukari nikatembea nae mpaka kwake, tukaagana mimi nikarudi kwangu.
Does that count??? Au sijaelewa mada
Mungu anawa[emoji102]Daah nyie watu nyie...[emoji27]
Eti unafungiwa na mke wa mtu na unakubali kukulana tena nyumbani kwake!!!Ukisoma hizi post utagundua wanawake wanaume vijana walisex bila kuwa na mipango ya muda mrefu. But wanawake wamesex kwa mipango thabit. Cha kushangaza vijana wa kiume wanajiona wajanja kumbe wao ndio walibakwa
[emoji1]We jamaa ni brand meneja wa dume[emoji767] ,ruff ryder[emoji767],durex[emoji767] au salama[emoji767]?
Yeah,matukio ya Ubakaj yapo humu,ila pia huenda akina dada wanaona aibu ila ndo wamebakwa sanaUkisoma hizi post utagundua wanawake wanaume vijana walisex bila kuwa na mipango ya muda mrefu. But wanawake wamesex kwa mipango thabit. Cha kushangaza vijana wa kiume wanajiona wajanja kumbe wao ndio walibakwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli aiseeUkisoma hizi post utagundua wanawake wanaume vijana walisex bila kuwa na mipango ya muda mrefu. But wanawake wamesex kwa mipango thabit. Cha kushangaza vijana wa kiume wanajiona wajanja kumbe wao ndio walibakwa
Ngoja nije PM inaweza ikaja huruma ya YESUmi usinione tu aisee bora huku huku nyuma ya keyboard
Chief naona upo kazin afisa masoko umezitangazwa ipasavyo aisee[emoji1]