Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
To be Honest i hate teachers labda ni Madam Mmoja Pekee aliyenifundisha shule Moja ya secondary Huko Moshi nilikuwa Nampenda.....Alinitetea na kunijali katika kila hali hata katika ofisi ya Nidhamu alionesha kunitetea (Mungu awabariki walimu kama hawa).
Kwangu mimi hakuwa Mwalimu yule madam.....Nilimchukulia Kama Mama.....Madam Fulani Mwenyezi Mungu Akutie Nguvu na akunyunyizie baraka zake popote ulipo.....Wewe ni Mama yangu tu.
Ila wengine wote waliobaki... kazi nzuri waliyofanya kwangu labda ni kunisahihishia mitihani yangu na kuniandika Jina katika school attendances zote na pia kutuma jina Necta.....ila katika Mafanikio yangu i wouldnt mention any Teacher!
Wengi waliniombea kufeli but it never happened nafikiri walitaka watu kama kina sisi tufeli wapate pa kutolea mf sunaona Fulani alifelii!
Nimeenda kuchukua vyeti vyangu O-level na Adv sikuwa na story na Teacher nikisemeshwa napigaa daash.....shida nyingi nilizopata katika Maisha yangu ya shule walimu walisababisha kwa kiasi kikubwa......sometimes wanaadhibu as if they have no kids!...
I HATE TEACHERS SINCE PRIMARY SCHOOL!