Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
To be Honest i hate teachers labda ni Madam Mmoja Pekee aliyenifundisha shule Moja ya secondary Huko Moshi nilikuwa Nampenda.....Alinitetea na kunijali katika kila hali hata katika ofisi ya Nidhamu alionesha kunitetea (Mungu awabariki walimu kama hawa).

Kwangu mimi hakuwa Mwalimu yule madam.....Nilimchukulia Kama Mama.....Madam Fulani Mwenyezi Mungu Akutie Nguvu na akunyunyizie baraka zake popote ulipo.....Wewe ni Mama yangu tu.

Ila wengine wote waliobaki... kazi nzuri waliyofanya kwangu labda ni kunisahihishia mitihani yangu na kuniandika Jina katika school attendances zote na pia kutuma jina Necta.....ila katika Mafanikio yangu i wouldnt mention any Teacher!

Wengi waliniombea kufeli but it never happened nafikiri walitaka watu kama kina sisi tufeli wapate pa kutolea mf sunaona Fulani alifelii!

Nimeenda kuchukua vyeti vyangu O-level na Adv sikuwa na story na Teacher nikisemeshwa napigaa daash.....shida nyingi nilizopata katika Maisha yangu ya shule walimu walisababisha kwa kiasi kikubwa......sometimes wanaadhibu as if they have no kids!...

I HATE TEACHERS SINCE PRIMARY SCHOOL!
 
"Stupid cunt" mwalimu akikuambia utafeli haina maana anakuombea ufeli....manake anataka uongeze juhudi......Bastard...... japo mim sio Mwalimu [emoji3]
you never understand what meaning this content has.....i hate them
 
To be Honest i hate teachers, kazi nzuri waliyofanya kwangu labda ni kunisahihishia mitihani yangu na kuniandika Jina katika school attendances zote na pia kutuma jina Necta.....ila katika Mafanikio yangu i wouldnt mention any Teacher!

Wengi waliniombea kufeli but it never happened nafikiri walitaka watu kama kina sisi tufeli wapate pa kutolea mf sunaona Fulani alifelii!

Nimeenda kuchukua vyeti vyangu O-level na Adv sikuwa na story na Teacher nikisemeshwa napigaa daash.....shida nyingi nilizopata katika Maisha yangu ya shule walimu walisababisha kwa kiasi kikubwa......sometimes wanaadhibu as if they have no kids!...

I HATE TEACHERS SINCE PRIMARY SCHOOL!
Kama kwel unawachukia walimu kotoka moyon usimpeleke mwanao shule. Pili walaumu sana wazaz wako walikulea vbaya haiwezekan ww ukawa tatzo kuanzia primary mpaka A level .ukawa ww ndo unaonewa tuu!! Hat mtaan utakua kero kwa familia ,jamii na taifa kwa ujumla.yaan mm naisi taifa Na familia yako wamepata hasara kua na mtu aina yako .siwez kunambia ubadilike maana haiwezekan kubadilika kama walim walikushidwa kuanzia primary mpka advance. May be ili jukumu wakabidhiwa magereza labda wataweza
 
Nitasema nini kama uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo kiasi Hiki?
 
Yanii hata Hiyo English broken ambayo umeandika Bilaaa haoo waalimu Usingewezaa kabisaa..!! Soo Grow up kid time for hate is over...
sawaa....wenye elimu ndogo utawajua tu!
 
Ubaya wa kuchumkia mtu maumivu yake yanakurudia wewe mwenyewe unayechukia.

I am proud to be a teacher.
Fresh ase ila usiwe Teacher Mnoko.....Nilipohitimu Advance nilitaka nikapige bsc physics+maths ......aaah ila kila mara nikikumbuka sikuvutiwa tena
 
Fresh ase ila usiwe Teacher Mnoko.....Nilipohitimu Advance nilitaka nikapige bsc physics+maths ......aaah ila kila mara nikikumbuka sikuvutiwa tena
Unaweza kuelezea ticha mnoko yuko vipi ?

Maana nyie watoto mkiona mwalimu hasiye mfuatiliaji ndio mnamuona yuko poa hujui kwamba anayepata hasara ni wewe sio mwalimu
 
Back
Top Bottom