DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hujajibu swali nililokuuliza unakimbilia kuuliza swali lingine halafu unategemea walimu wasiwe wakali kwako.hivi mnafaidika nini mnapomfukuza mtu shule? tena hata Necta asifanye
Unoko ni Hili la Mwl. Kumfatilia sana Mwanafunzi fulani lengo lake ili amkute katika kosa......na huenda pia kuna wanaofanya makosa wengine ila utakuta kisa teacher hampendi fulani basi atadeal naeHujajibu swali nililokuuliza unakimbilia kuuliza swali lingine halafu unategemea walimu wasiwe wakali kwako.
[emoji38] [emoji38] [emoji41] jokes Mkuu hata mm nawadiss ila sio wote !!!shule zipo nyingi unaulizia shule gani!
Kwa kingereza hichi hata mimi ningekutabiria utafeli...ulifauluje sasa wakati hata kiingereza hujuiyou never understand what meaning this content has.....i hate them
Sasa hayo ni matatizo binafsi ya mwalimu ambayo huwez kuyatumia kuwahukumu walimu wote.Unoko ni Hili la Mwl. Kumfatilia sana Mwanafunzi fulani lengo lake ili amkute katika kosa......na huenda pia kuna wanaofanya makosa wengine ila utakuta kisa teacher hampendi fulani basi atadeal nae
Mwanafunzi anayezingatia taratibu za shule hawez kukumbana na hayo unayoyasema.Kingine Mzee hivi walimu Mnapata raha gani pale mmetoa sunspension basi mtu akija na mzazi wake mtawasumbua weee mara oooh mpo busy mje siku hii....yanii blaa blaa kibao!
Huwezi kuwa na adabu kwa walimu wako halafu wasikupende. Huo utukutu wako ndio uliokufanya usipendwe kwahiyo walimu wako hawakuwa na shida.Adabu nilikuwa nayo labda utukutu kidogo!