Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Hujajibu swali nililokuuliza unakimbilia kuuliza swali lingine halafu unategemea walimu wasiwe wakali kwako.
Unoko ni Hili la Mwl. Kumfatilia sana Mwanafunzi fulani lengo lake ili amkute katika kosa......na huenda pia kuna wanaofanya makosa wengine ila utakuta kisa teacher hampendi fulani basi atadeal nae
 
Kingine Mzee hivi walimu Mnapata raha gani pale mmetoa sunspension basi mtu akija na mzazi wake mtawasumbua weee mara oooh mpo busy mje siku hii....yanii blaa blaa kibao!
 
Haihitajiki darubini hapa kujua kuwa ulikuwa mwanafunzi mtukutu na asiye na adabu shuleni.

Pole sana kwa chuki uliyoijenga, ila bado wao ndio waliokuwezesha kufika hapo ulipo sasa.
Adabu nilikuwa nayo labda utukutu kidogo!
 
Unoko ni Hili la Mwl. Kumfatilia sana Mwanafunzi fulani lengo lake ili amkute katika kosa......na huenda pia kuna wanaofanya makosa wengine ila utakuta kisa teacher hampendi fulani basi atadeal nae
Sasa hayo ni matatizo binafsi ya mwalimu ambayo huwez kuyatumia kuwahukumu walimu wote.

Kwa uzoefu tangu nasoma sijawahi kuona mwalimu anamfuatilia mwanafunzi bila sababu za msingi labda awe ana mambo yake binafsi.
 
Adabu nilikuwa nayo labda utukutu kidogo!
Huwezi kuwa na adabu kwa walimu wako halafu wasikupende. Huo utukutu wako ndio uliokufanya usipendwe kwahiyo walimu wako hawakuwa na shida.

Binafsi nawapenda na kuwaheshimu sana walimu wangu kwani walinisaidia sana kwa mkong'oto waliokuwa wakinipa. Maana nilishaanza utukutu na ujinga ambao ungekuja kuniletea shida baadae.
 
Back
Top Bottom