Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Kwa uandishi wako huu atakama Mimi ningekuwa Mwalimu wako ningekunyoosha, nidhamu yako ni ndogo na unajifanya unajua kumbe mbele za watu ni empty headed na ujalitambua hilo.
Huu uandishi una tatizo gani?? The concept is simple i was extraordinary and our Teachers hawataki kuwa Challenged
 
Mkuu form two? anaweza kuandika hivii? hujui hata kufanya Prediction rahisi kama hii?
 
Waalimu hawapendi slow learner na wakorofi hata mara moja.
Soma neno kwa meno utagundua Waalimu walikuwa wanamwambia utafeli.
Sababu kuna kitu hakikuwa sawa.
Kwanini madam alikuwa anamtetea?....
Kuna kitu kimejificha...huwezi kutetea kama huna makosa
Waalimu hamtaki kuwa challenged
 
Hauko peke ako,,mimi pia niliwachukia,,mpaka sasa walimu sijui nawaonaje,,na walinitabiria ku fail ila nilifanya vizuri
 
Hauko peke ako,,mimi pia niliwachukia,,mpaka sasa walimu sijui nawaonaje,,na walinitabiria ku fail ila nilifanya vizuri
Waambie Hawa Jamaa asee.....i don hate their Field ila wao.....yaani waalimu wengi wa Kibongo ni Mzigoo.....Wengi walifelii wakaona ualimu ndio Option
 
Waambie Hawa Jamaa asee.....i don hate their Field ila wao.....yaani waalimu wengi wa Kibongo ni Mzigoo.....Wengi walifelii wakaona ualimu ndio Option
Mkuu tatizo ukifunguka wanakuja juu sana kubishana na ukweli,,,most of them (ninao wajua mimi) wanajiona wanajua wakati hamna kitu,walikua wakiniambia kuhusu kutofanikiwa kimaisha but nilivokua nikiwaona mimi hawakua na mafanikio mpaka leo
 
wao wamekwambia wanakupenda?
 
Mkuu tatizo ukifunguka wanakuja juu sana kubishana na ukweli,,,most of them (ninao wajua mimi) wanajiona wanajua wakati hamna kitu,walikua wakiniambia kuhusu kutofanikiwa kimaisha but nilivokua nikiwaona mimi hawakua na mafanikio mpaka leo
Mwl hawezi kua kilaza labda wewe ndo uwe kilaza, binafsi I love my teacher they used to insist me to study hard for best future
 
Hana akili huyu.Kwa style hii atamchukia hata Mungu kwa kuweka zile amri kumi na kututaka tuishi kwa utaratibu.
 
you hate teachers??
shit
wakat ndio waliosababisha uwe na uwezo wa kuandika thread hii!waheshimu walimu wako wewe! bila wao wewe ungekuwapunga tu!
 
Nawashukuru Sana waalimu
Wang wa primary kama co
Viboko vyao leo cjui ngekua wap

Popote mlipo waalimu wang
Mlinichapa sana lkn ndo mliniokoa mbarikiewe sana

Mwl:
Fokas, mathematics, science
Tambalu, English
Mhando , kiswahili
Mkakanze stad za kaz maarifa ya jamii

Kwalamahondo primary school
 
Mkuu upo kama mm, kuna siku nilichapwa sana lkn ndio ilikuwa njia moja wapo ya kunifukisha hapa
 
Utakuwa na shida ya ki malezi ktk hatua fulani ya ukuaji wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…