KipajiTz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 743
- 880
Pole mkuu naona umekula bann [emoji23] [emoji23] [emoji23]Empty set
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu naona umekula bann [emoji23] [emoji23] [emoji23]Empty set
Ngoja nikusaidie kijana, you don't hate teachers, you just hate how some of those teachers treated you, that's all acha kuzunguka get ur point straight, by the way ushakubali kabisa kuwa walimu wazuri pia wapoyou never understand what meaning this content has.....i hate them
To be Honest i hate teachers labda ni Madam Mmoja Pekee aliyenifundisha shule Moja ya secondary Huko Moshi nilikuwa Nampenda.....Alinitetea na kunijali katika kila hali hata katika ofisi ya Nidhamu alionesha kunitetea (Mungu awabariki walimu kama hawa).
Kwangu mimi hakuwa Mwalimu yule madam.....Nilimchukulia Kama Mama.....Madam Fulani Mwenyezi Mungu Akutie Nguvu na akunyunyizie baraka zake popote ulipo.....Wewe ni Mama yangu tu.
Ila wengine wote waliobaki... kazi nzuri waliyofanya kwangu labda ni kunisahihishia mitihani yangu na kuniandika Jina katika school attendances zote na pia kutuma jina Necta.....ila katika Mafanikio yangu i wouldnt mention any Teacher!
Wengi waliniombea kufeli but it never happened nafikiri walitaka watu kama kina sisi tufeli wapate pa kutolea mf sunaona Fulani alifelii!
Nimeenda kuchukua vyeti vyangu O-level na Adv sikuwa na story na Teacher nikisemeshwa napigaa daash.....shida nyingi nilizopata katika Maisha yangu ya shule walimu walisababisha kwa kiasi kikubwa......sometimes wanaadhibu as if they have no kids!...
I HATE TEACHERS SINCE PRIMARY SCHOOL!
Kwakuwa walijua akili za darasani unazo,ndio maana walikusakama ili wasikupoteze japo ulikuwa kero kwao.Walimu na waheshimiwe popote walipo!!Ni kwelii But.....Najua mimi Ningekuwa kilaza Ma Teacher shule wangenifukuza kabisaa sema ndo ivo nilikuwa natetea shulee!
Walifelii lakini leo Ndo wamekufikisha hapooo...stupidy...Waambie Hawa Jamaa asee.....i don hate their Field ila wao.....yaani waalimu wengi wa Kibongo ni Mzigoo.....Wengi walifelii wakaona ualimu ndio Option
Ahahahahaa sawaa boss una umakiniNgoja nikusaidie kijana, you don't hate teachers, you just hate how some of those teachers treated you, that's all acha kuzunguka get ur point straight, by the way ushakubali kabisa kuwa walimu wazuri pia wapo
Huo ndo ukwel mkuu yani kuna walimu mpk saiv nikikutana naye naweza hata nisimsalimie,wanachojua walimu ni kuchapa tuuTell them Boss
Oooh my God, hiki ni kingereza gani, hivi unaweza kwenda kwenye interview na wakenya au zambia ukashindayou never understand what meaning this content has.....i hate them
Oooh my God, hiki ni kingereza gani, hivi unaweza kwenda kwenye interview na wakenya au zambia ukashindayou never understand what meaning this content has.....i hate them