Confession: Kiukweli mawachukia walimu

you never understand what meaning this content has.....i hate them
Ngoja nikusaidie kijana, you don't hate teachers, you just hate how some of those teachers treated you, that's all acha kuzunguka get ur point straight, by the way ushakubali kabisa kuwa walimu wazuri pia wapo
 
UMEFIKIA LEVEL GANI? BILA HAO WALIMU UNAOSEMA:

- Usingeweza kuja kupost hapa.
- Hizi paragraphy zingekushinda.
- Bado ungekuwa kijijini kwenu KOLOMOJE
 
Mpaka sasa hivi nimeshajua ulikuwa mtu wa aina gani
 
Ni kwelii But.....Najua mimi Ningekuwa kilaza Ma Teacher shule wangenifukuza kabisaa sema ndo ivo nilikuwa natetea shulee!
Kwakuwa walijua akili za darasani unazo,ndio maana walikusakama ili wasikupoteze japo ulikuwa kero kwao.Walimu na waheshimiwe popote walipo!!
 
Waambie Hawa Jamaa asee.....i don hate their Field ila wao.....yaani waalimu wengi wa Kibongo ni Mzigoo.....Wengi walifelii wakaona ualimu ndio Option
Walifelii lakini leo Ndo wamekufikisha hapooo...stupidy...
 
Ngoja nikusaidie kijana, you don't hate teachers, you just hate how some of those teachers treated you, that's all acha kuzunguka get ur point straight, by the way ushakubali kabisa kuwa walimu wazuri pia wapo
Ahahahahaa sawaa boss una umakini
 
Kwakuwa walijua akili za darasani unazo,ndio maana walikusakama ili wasikupoteze japo ulikuwa kero kwao.Walimu na waheshimiwe popote walipo!!
wanataka waonekane wanajua
 
Walimu wengi hawako friendly,wengi wako hash sana sijui kwann ila sio wote.
 
Jirani yako akija na mgeni jitahidi umshike mkono kabla hajaenda msalani.
 
Upo kama mimi

Mimi siwachukii walimu ila hawajahi kuwa na mchango katika ufaulu wangu wa mitihani....... mwalimu pekee ninayemshukuru ni yule aliyenifundisha kusoma na kuandika darasa la vidudu pamoja na darasa la kwanza
 
you never understand what meaning this content has.....i hate them
Oooh my God, hiki ni kingereza gani, hivi unaweza kwenda kwenye interview na wakenya au zambia ukashinda
 
you never understand what meaning this content has.....i hate them
Oooh my God, hiki ni kingereza gani, hivi unaweza kwenda kwenye interview na wakenya au zambia ukashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…