Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Kama shida gani?

Probably, wazazi wako au walezi wako, mmoja wapo alishawahi kukuumiza ktk suala fulani. Lakini naweza kukuhakikishia kuwa hakuna mwl yeyote mwenye nia mbaya na mwanafunzi wake. Unapofanikiwa ni pride kwake pia!
 
Oooh my God, hiki ni kingereza gani, hivi unaweza kwenda kwenye interview na wakenya au zambia ukashinda
Kwa Field yangu Hakuna Haja ya Competitive English.....Acha upumbavu
 
Upo kama mimi

Mimi siwachukii walimu ila hawajahi kuwa na mchango katika ufaulu wangu wa mitihani....... mwalimu pekee ninayemshukuru ni yule aliyenifundisha kusoma na kuandika darasa la vidudu pamoja na darasa la kwanza
Tell them Boss
 
Nyie ndo mnachomaga shule

Kupiga waalimu wanoko kisa hakupendi

kuwapa waalimu majina ya hovyo hovyo

Hata sijui kama ulifikilia *2 unavyo andika huu uzi wa kipuuzi kama huu
 
Ina maana hata JPM na Waziri Mkuu unawachukia? Maana wote ni walimu
 
Ahsante kwa kutukumbuka kijana wetu.
 
Hata mwandiko wako tu unaonesha kweli unawachukia walimu wote Duniani.

Pamoja na kuwachukia ila ulitii maagizo yao yote na ndio maana umefika hapo ulipo. Huo kwangu ni ushahidi tosha kuwa unawapenda walimu.

Ungekuwa unawachukia walimu kiasi hicho usingemaliza hata darasa la saba.
 
Wabarikiwe walimu wote duniani isingekuwa ninyi kutupatia elimu tusingekuwa hapa tulipo Mungu awakumbuke kwa Kazi yenu nzuri mmekuwa wazazi, walimu walezi. Nikukumbushe kijana mwenzangu punguza lawama kwa Watu maendeleo yako binafsi yako juu yako si Kwa wazazi wako wala serikali yako wala kwa ndugu zako
Jiangalie maisha unayoishi ndo akili yako inaishia kufikiri
 
Ubaya wa kuchumkia mtu maumivu yake yanakurudia wewe mwenyewe unayechukia.

I am proud to be a teacher.
Fungueni fikra zenu katika kutafuta unafuu na mafanikio ya maisha nyie walimu, na sio kupambana na kuchukuia wtoto wa wenzenu

Huna la kujisifia kwenye ualimu wako sema tu huna la kufanya as a subtitute

Tunawajua wengi wenu maisha yenu ni ya dhiki na yenye majuto ila mnajificha tu kwenye kichaka cha taaluma
 
Ha ha ha ha ha
 
A true peace is not merely the absence of tension, but the presence of justice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…