lukala
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 594
- 590
Oooh my God, hiki ni kingereza gani, hivi unaweza kwenda kwenye interview na wakenya au zambia ukashindayou never understand what meaning this content has.....i hate them
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh my God, hiki ni kingereza gani, hivi unaweza kwenda kwenye interview na wakenya au zambia ukashindayou never understand what meaning this content has.....i hate them
Kama shida gani?
Tell them BossUpo kama mimi
Mimi siwachukii walimu ila hawajahi kuwa na mchango katika ufaulu wangu wa mitihani....... mwalimu pekee ninayemshukuru ni yule aliyenifundisha kusoma na kuandika darasa la vidudu pamoja na darasa la kwanza
Hakuna field wew zuzu hata hoja zako tu unaonekanaKwa Field yangu Hakuna Haja ya Competitive English.....Acha upumbavu
ahahahaa nilishawahi kutoa uzi humu kwamba kuwa na IQ ndogo ni umaskini Mkubwa alionao binadamu.....sentensi yako tu haielewekiHakuna field wew zuzu hata hoja zako tu unaonekana
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Genius si ungemjibu kwa lugha aloitumia genius vipi?Asikudanganyee mtu walimu ni vilazaa wengii......wengi wao hawakupenda hio Field walienda kwa sababu walifeli!
Ahsante kwa kutukumbuka kijana wetu.Nawashukuru Sana waalimu
Wang wa primary kama co
Viboko vyao leo cjui ngekua wap
Popote mlipo waalimu wang
Mlinichapa sana lkn ndo mliniokoa mbarikiewe sana
Mwl:
Fokas, mathematics, science
Tambalu, English
Mhando , kiswahili
Mkakanze stad za kaz maarifa ya jamii
Kwalamahondo primary school
Na Mimi nakuambia una shida katika malezi ukikaa ukitulia jichunguze utagundua.Kama shida gani?
Ww ndo mkakanze au mhando nnAhsante kwa kutukumbuka kijana wetu.
AiseeAsikudanganyee mtu walimu ni vilazaa wengii......wengi wao hawakupenda hio Field walienda kwa sababu walifeli!
Fungueni fikra zenu katika kutafuta unafuu na mafanikio ya maisha nyie walimu, na sio kupambana na kuchukuia wtoto wa wenzenuUbaya wa kuchumkia mtu maumivu yake yanakurudia wewe mwenyewe unayechukia.
I am proud to be a teacher.
Ha ha ha ha haKama kwel unawachukia walimu kotoka moyon usimpeleke mwanao shule. Pili walaumu sana wazaz wako walikulea vbaya haiwezekan ww ukawa tatzo kuanzia primary mpaka A level .ukawa ww ndo unaonewa tuu!! Hat mtaan utakua kero kwa familia ,jamii na taifa kwa ujumla.yaan mm naisi taifa Na familia yako wamepata hasara kua na mtu aina yako .siwez kunambia ubadilike maana haiwezekan kubadilika kama walim walikushidwa kuanzia primary mpka advance. May be ili jukumu wakabidhiwa magereza labda wataweza