Asante Mugare kwa ushauri.Fungueni fikra zenu katika kutafuta unafuu na mafanikio ya maisha nyie walimu, na sio kupambana na kuchukuia wtoto wa wenzenu
Huna la kujisifia kwenye ualimu wako sema tu huna la kufanya as a subtitute
Tunawajua wengi wenu maisha yenu ni ya dhiki na yenye majuto ila mnajificha tu kwenye kichaka cha taaluma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi mnafaidika nini mnapomfukuza mtu shule? tena hata Necta asifanye
ahahahaha bless boyHata mwandiko wako tu unaonesha kweli unawachukia walimu wote Duniani.
Pamoja na kuwachukia ila ulitii maagizo yao yote na ndio maana umefika hapo ulipo. Huo kwangu ni ushahidi tosha kuwa unawapenda walimu.
Ungekuwa unawachukia walimu kiasi hicho usingemaliza hata darasa la saba.
Kama Mwl wa chuo upo hivi wanafunzi wakoje??? hahahahaa mwl anajiita JINI KISIRANIWewe ndo mpumbavu fist class. Mwalimu ndo kakufikisha hapo ulipo. Ujinga na upumbavu wako wa kutofuata kile walimu wanakwambia ndo umekufikisha hapo ulipo. Hayupo mwalimu duniani anayeombea mwanafunzi flani afeli, furaha ya mwalimu ni kuona wanafunzi wote wamefaulu. Usipojiweza darasana lazima uchukie tu mwalimu. Na jinsi ulivyo mpumbavu unaprovock kwenye social media hujui kuwa humu tupo walimu pia. Japo wengine tunafundisha vyuo lakini ni walimu pia. So shut up your trap and learn to respect your teachers