Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Kuna mwalimu mjeshi flani wa makongo aliniambia nitafeli kwa div0 form four,, ila nilikuja kumprove wrong kabsa
Popote ulipo luteni Mussa agiza bia ntalipa
 
Fungueni fikra zenu katika kutafuta unafuu na mafanikio ya maisha nyie walimu, na sio kupambana na kuchukuia wtoto wa wenzenu

Huna la kujisifia kwenye ualimu wako sema tu huna la kufanya as a subtitute

Tunawajua wengi wenu maisha yenu ni ya dhiki na yenye majuto ila mnajificha tu kwenye kichaka cha taaluma
Asante Mugare kwa ushauri.

Ila nkimuona mwanao analeta utukutu shulen lazima nmlambe bakora.
 
Hata mwandiko wako tu unaonesha kweli unawachukia walimu wote Duniani.

Pamoja na kuwachukia ila ulitii maagizo yao yote na ndio maana umefika hapo ulipo. Huo kwangu ni ushahidi tosha kuwa unawapenda walimu.

Ungekuwa unawachukia walimu kiasi hicho usingemaliza hata darasa la saba.
ahahahaha bless boy
 
Wewe ndo mpumbavu fist class. Mwalimu ndo kakufikisha hapo ulipo. Ujinga na upumbavu wako wa kutofuata kile walimu wanakwambia ndo umekufikisha hapo ulipo. Hayupo mwalimu duniani anayeombea mwanafunzi flani afeli, furaha ya mwalimu ni kuona wanafunzi wote wamefaulu. Usipojiweza darasana lazima uchukie tu mwalimu. Na jinsi ulivyo mpumbavu unaprovock kwenye social media hujui kuwa humu tupo walimu pia. Japo wengine tunafundisha vyuo lakini ni walimu pia. So shut up your trap and learn to respect your teachers
 
Kama Mwl wa chuo upo hivi wanafunzi wakoje??? hahahahaa mwl anajiita JINI KISIRANI
 
Inaelekea ulikuwa mvuta bangi enzi za shule yako hadi sasa.WALIMU WENGI HAWAWAPENDI WANAFUNZI WAVUTA BAÑGI
 
Back
Top Bottom