Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Confession: Kiukweli mawachukia walimu

Sasa hayo ni matatizo binafsi ya mwalimu ambayo huwez kuyatumia kuwahukumu walimu wote.

Kwa uzoefu tangu nasoma sijawahi kuona mwalimu anamfuatilia mwanafunzi bila sababu za msingi labda awe ana mambo yake binafsi.
Mkuu mimi sijui utakuwa umesoma shule ganii ila Kwa wale wa boarding wanajua kabisaa Maana ya neni UNOKO WA TEACHER.....yaani teacher akiamka kesho ni kumfatilia tu flanii
 
Huwezi kuwa na adabu kwa walimu wako halafu wasikupende. Huo utukutu wako ndio uliokufanya usipendwe kwahiyo walimu wako hawakuwa na shida.

Binafsi nawapenda na kuwaheshimu sana walimu wangu kwani walinisaidia sana kwa mkong'oto waliokuwa wakinipa. Maana nilishaanza utukutu na ujinga ambao ungekuja kuniletea shida baadae.
Ni kwelii But.....Najua mimi Ningekuwa kilaza Ma Teacher shule wangenifukuza kabisaa sema ndo ivo nilikuwa natetea shulee!
 
Mkuu mimi sijui utakuwa umesoma shule ganii ila Kwa wale wa boarding wanajua kabisaa Maana ya neni UNOKO WA TEACHER.....yaani teacher akiamka kesho ni kumfatilia tu flanii
Kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita nimesoma boarding. Lakin sikuwahi kuona mwalimu from no where anamchukia mwanafunzi.
 
Kama huoni kosa hapo basi we ni jinga ambaye siwezi kutumia mda wangu kuhangaika kukuelekeza...we baki akili zako ziishie hapohapo
Mzee shule hujaendaa tuliaa....akili ndogo utaijua tu
 
sawaa....wenye elimu ndogo utawajua tu!
Watu tumepelekwa mpaka Polisi na waalimu wewe kwambiwa maneno tu unakuja Kulialiaa hapaa Bashite kweli...!! Wasingekupa maneno usingefikaa hapooo...
 
Ni kwelii But.....Najua mimi Ningekuwa kilaza Ma Teacher shule wangenifukuza kabisaa sema ndo ivo nilikuwa natetea shulee!
Mwalimu ni kama mzazi hufurahia unapofanya vizuri. Kama walimu wangekuwa wabaya kama unavyodai wasingeshindwa kukufukuza. Waheshimu na kuwathamini walimu wako.
Kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita nimesoma boarding. Lakin sikuwahi kuona mwalimu from no where anamchukia mwanafunzi.
 
Watu tumepelekwa mpaka Polisi na waalimu wewe kwambiwa maneno tu unakuja Kulialiaa hapaa Bashite kweli...!! Wasingekupa maneno usingefikaa hapooo...
Mzee kama hujui unatulia tu Mambo ya Polisi kwangu ni Madogo
 
Si wewe nahisi una tatizo kubwa.Uko humu sababu ya walimu.Aliyekufanya ujue kusoma ni wa kuheshimu sana.
 
Ukatili Wa walimu unasababishwa na serikali wanayoiweka madarakani wao wenyewe!
 
Mkuu inaonekana ulikuwa much know...ukishapiga pindi kitaa unarudi kusumbua walimu wasio update knowledge zao
 
Waalimu hawapendi slow learner na wakorofi hata mara moja.
Soma neno kwa meno utagundua Waalimu walikuwa wanamwambia utafeli.
Sababu kuna kitu hakikuwa sawa.
Kwanini madam alikuwa anamtetea?....
Kuna kitu kimejificha...huwezi kutetea kama huna makosa
Hao ambao hawapendi slow learner hawana hadhi ya kuitwa waalimu,
Unajua kazi mojawapo ya mwalimu ni kumjengea mwanafunzi saikolojia ya uwezo wa kufanya vizuri ktk masomo!!

Saikolojia ni kitu muhimu sana kwa kila mtu ambae yupo hai, kuwa slow learner haimanishi kuwa ndio hafai kuwa mwanafunzi na kujifunza,

Nikupe mfano unaonihusu mm,
Wakati nasoma mm nilikuwa nalichukia sana somo la hesabu sababu nilikua nafeli sana alafu nilikua naumia sana nikifeli...

Nakumbuka alitokea mwalimu mmoja kijana kijana aliniita ofisini akaniuliza kwann ninafeli hesabu wakati uwezo wa kufaulu nnao, kama nimeweza kufaulu masomo mengi yote inakuaje nifeli hesabu..!!!
Mwanzoni niliona yule mwalimu kama ananikejeli...akawa rafiki yangu sana na hata nikifeli alikua ananiambia wewe HESABU UNAJUA ILA TU HAUTAKI KUFAULU,

Sio siri yale maneno yake hadi leo bado nayasikia akilini mwangu na jinsi alivyokua ananiambia kirafiki....

Tangu awe ananiambia hivyo nilianza kulipenda somo la hesabu na kualifanyia kazi...nikikwama namfata, mwisho hadi nilikua napanda grades na mwalimu alikua anafurahi na kuniambia si nilikwambia mm![emoji1][emoji1]

Kwahiyo ile hali ikanifanya niwe mtu nnae jichukulia kuweza ila tu ni kuamua...

Kwakweli hesabu nilikua naziogopa sana lkn baada ya kukutana na yule mwalimua mbona nilitafuta hata CSBM kama ulikua mtu wa hesabu hicho kitabu utakua unakijua vizuri...kina maswali magumu lkn nilikua nafanya kila siku hadi nikawa nakiona hamna kitu,

Kuna haja sana ya wizara kuliangalia hili swala la waalimu wanaotufundishia watt wetu....wangekuwa wanapata na elimu ya saikolojia ingependeza sana.
 
..mtoa mada usikute uneshapewa suspension ndiyo unaitumikia sasa ndiyo maana unawachukia walimu, hakika wewe ni mwanafunzi tena form II hivyo usituchore,haiwezekeni kwa post yako kweli kama umehitimu na kufaulu alafu ukayaandika haya kwa waliokutoa upumbavu na ujinga!!!
 
Back
Top Bottom