Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

Wewe muhusi siwezi kukusaidia umtese Dina wa watu mzuri[emoji1787]
Ni katika kutaka aamini uchawi just to show her! Mi sitamtesa we fanya maruhani tu ajionee dunia.. hukusikia Yale maneno ya abishae hufunguliwa..? Tumfungue Sasa..😁
 
Ni katika kutaka aamini uchawi just to show her! Mi sitamtesa we fanya maruhani tu ajionee dunia.. hukusikia Yale maneno ya abishae hufunguliwa..? Tumfungue Sasa..😁
Achana na mimi
 
Ni katika kutaka aamini uchawi just to show her! Mi sitamtesa we fanya maruhani tu ajionee dunia.. hukusikia Yale maneno ya abishae hufunguliwa..? Tumfungue Sasa..[emoji16]
Umeharibu sasa kuja upenuni[emoji3]
 
We are brothers Chief, but we are human being as well. No one is exceptional when it comes to temptation and challenges.

Kutoka 14:14​

BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] Neno hili likawe manukato na kufanyika baraka kwetu sote kwa waamini na wasioamini[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom