Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

POLE SANA MKUU OLA TAMBUA PALE KWENYE UGUMU NDIPO KUNA NEEMA NA PIA MAJARIBU NI MTAJI WA KUELEKEA KWENYE WOKOVU
 
Mkuu unaamini ukirudi huko kilingeni utapata shuruhisho la matatizo yako hapa Duniani na mbinguni? Kama unaamini.!
 
[emoji1545] I will always be! I promise before all ghosts
giphy.gif
Mshike mkono na umlete kwangu god will bless you forever..😁
 
Ulienda kujifunza uchawi kabisa baada ya kuona ule wa kwenye mitandao haukupi matokeo unayohitaji, vipi lakini kilinge utakiweka wapi au utaamua kubaki tu mchawi usumbue majirani zako ?
 
Ulienda kujifunza uchawi kabisa baada ya kuona ule wa kwenye mitandao haukupi matokeo unayohitaji, vipi lakini kilinge utakiweka wapi au utaamua kubaki tu mchawi usumbue majirani zako ?
Nini kimekusibu mpaka umekuwa mwema kwangu?
 
Niliacha siasa za kugombea kwasababu ya watu wanaoitwa wachawi ni watu wabaya sana
Nimejifunza kuitunza imani yangu imenifaa kwa mambo mengi
 
Dawa ya wachawi pombe tu na kitimoto. Hawasogei nyumbani kwako. Kula mdudu nyumbani baadhi ya mifupa weka karibu na kwako umemaliza kazi
 
@
Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima.. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo.. Na nikapata amani kubwa moyoni

Naamini nanyi ni mashuhuda wa hili kwakuwa nilipunguza mada za ushirikina kwa asilimia 80 ama 90 hivi.... Na kila nilichomiliki chenye viashiria na viasili vya ushirikina ama niligawa au niliviharibu na kuviteketeza kwa moto kwa mikono yangu mwenyewe! Nilihakikisha naishi maisha ya ukamilifu na usafi wa kiroho

LAKINI wapendwa shetani ana nguvu sana sana... Unapokuwa umevaa koti jeupe la mshika dini na asiyependa mambo ya ulozo lakini ndani u mchafu kupitiliza wala sheatani hawezi kukusumbua kabisa lakini once unapomkataa kwa roho na kweli ...VITA HUANZIA HAPO! atakujia na washirika wengine SABA kuhakikisha wanakurudisha kwenye himaya yao...!

Juzi kati nilikuwa maeneo ya mikwambe Kigamboni kibada mpaka saa tatu usiku hivi wakati naondoka nikagundua kuna watu walikuwa wameniungia body na nilienda nao mpaka Tuangoma halafu wakapotea kusikojulikana

Tangu hapo nimejiwa na msisimko wa ajabu kabisa ... Msisimko wa kutafuta zile nguvu za giza tena.. Najitambua kiimani na kiroho niko vizuri mno.. Lakini sasa naona viashiria vya kunirudisha kilingeni vinazidi kupata nguvu kila uchao!
Tafadhalini naomba msije mkanishangaa in case mkisikia nimerudi Msata Kilingeni penye shina langu.. Lakini pia ukiweza na ukipenda kwa utashi wako pls niombee.. Kuna shida nyingi huko vilingeni basi tuuu[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Mshana Jr mlokole wa Taifa
 
Back
Top Bottom