Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu yangu Rehema popote ulipo Mungu akurehemu.
Tumetunza siri nzito sana kati yetu.
dunia ina mambo hiiKiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo.
Mimi niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6 anasubiri kwend chuo, mwanzoni nilikuwa napingana sana na hizo feelings zisinitawale akilini lakini ilikuwa ni ngumu sana kuzuzuia.
Nilianza kumpenda sana, tulikuwa tumezoeana sana kama ndugu tu lakini shida ikawa inakuja kwenye uzito wa kumpa live mbele yake kwamba nimemzimia, tuliwahi kucheza sana utotoni kwahio tulikuja kutana tena ukubwani.
Nilianza hadi kumuwaza mara kwa mara na kum fantacize kimapenzi, moyo wa kutaka kumfungukia ukawa unanipa msukumo mkubwa sana nimwambie ukweli nami nikaanza kujiamini kwamba hakuna linaloshindikana, kilichopo moyoni kinanitesa kwanini nikishikilie sana, mda huo yani sijali cha tamaduni wala undugu nipo full mkoko kutaka kumwambia ukweli. ila kiukweli kila nikitaka kumwambia moyo unasita.
Tulikuwa na michezo ya kugombania rimoti, kugombaniana siti, n.k nilianza kuianzisha maksudi ili niwe naitumia kumgusa gusa na kumkumbatia.
Siku ilifika akaondoka kwenda kuanza chuo ndio tukawa mbali na ndio ikawa ponea yangu
Nashukuru nilichotaka hakikufanikiwa, kingekua ni doa kubwa sana huku maisha ya ukubwani
Mimi sinastory za nduguWee unaweka siti lakini hutoi story zako
Una story ya yule jamaa tuuMimi sinastory za ndugu
😂😂Umepata pa kuninyanyasia eehUna story ya yule jamaa tuu
Tulia mrembo wee nikunyanyase vipi tena wakati mie nataka kukupa tulizo la moyo😂😂Umepata pa kuninyanyasia eeh
HongerAMe bado sana kufanya hivi
Nami naungana na wewe tuna weka siti ya pamoja tukiwa na popcorn na juice tunacheki mtananange ulivyo 🤣Ooh ngoja niweke siti hapa
Hiyo ya kutembea na mfanyakazi mwenzako mbona ni la kawaida kwani wewe unaona ni ajabu au haiwezekani?Mimi labda niwekewe bastola lakini kumtamani au kutembea na ndugu, shemeji, Mfanyakazi mwenzangu na mtu yeyote wa karibu na familia yangu au ya mume wangu ni never. Dunia ni kubwa sana.
Acha tu nifanye dhambi zingine ninazozimudu.
🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi watu wanafunguka tu.
Ni kawaida au si kawaida ndio maana sehemu zingine hawaruhusu ila mnafanya siri si ndio?Hiyo ya kutembea na mfanyakazi mwenzako mbona ni la kawaida kwani wewe unaona ni ajabu au haiwezekani?