Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tumeamua kushirikishana dhambi kwa uwazi kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeamua kushirikishana dhambi kwa uwazi kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi hii level sijafika kabisa hiv japo nimeishi na dada zangu na ndugu wa kike wengi lakini sijawahi kufikiria Huu upuuziTumeamua kushirikishana dhambi kwa uwazi kabisa
Kiukweli this is another level 😀Mimi hii level sijafika kabisa hiv japo nimeishi na dada zangu na ndugu wa kike wengi lakini sijawahi kufikiria Huu upuuzi
Nilipata hisia kali sana za mvuto kwa binamu yangu na sikusita nikamueleza kinaganaga alipokuja likizoKiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo.
niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6 anasubiri kwend chuo, mwanzoni nilikuwa napingana sana na hizo feelings zisinitawale akilini lakini ilikuwa ni ngumu sana kuzuzuia, nilikuwa nina girlfriend (demu) lakini hii nguvu ya kuanza kuvutiwa na ndugu sijui ilitokea wapi.
Nilianza kumpenda sana, tulikuwa tumezoeana sana kama ndugu tu lakini shida ikawa inakuja kwenye uzito wa kumpa live mbele yake kwamba nimemzimia, tuliwahi kucheza sana utotoni kwahio tulikuja kutana tena ukubwani.
Nilianza hadi kumuwaza mara kwa mara na kum fantacize kimapenzi, moyo wa kutaka kumfungukia ukawa unanipa msukumo mkubwa sana nimwambie ukweli nami nikaanza kujiamini kwamba hakuna linaloshindikana, kilichopo moyoni kinanitesa kwanini nikishikilie sana, mda huo yani sijali cha tamaduni wala undugu nipo full mkoko kutaka kumwambia ukweli. ila kiukweli kila nikitaka kumwambia moyo unasita.
Tulikuwaga na michezo ya kugombania rimoti, kugombaniana kochi, n.k nilianza kuianzisha maksudi mara kwa mara ili niwe naitumia kumtomasa na kumsika, kuna kipindi hata akitok kidogo tu na akifika namkumbatia kwamba nimekumisi dada yangu umefika salama lakini kiukweli nilikuwa namkumbatia kwa hisia za kimapenzi, sijui kama aliwahi kujua hili.
Miezi miwili ya likizo yake aliyoka nyumbani kwetu iliisha akaondoka kwenda kuanza masomo, nashukuru nilichotaka hakikufanikiwa, kingekua ni doa kubwa sana huku maisha ya ukubwani
Mimi nilikuwa kauzu na domo zege si mchezo huo muda wa kumfikiria ndugu yangu napata wapi? Hata shuleni nimemaliza bila hata kutongoza mwanamke nimeanza kuwa na interest na wanawake ni 2018 rasmiKiukweli this is another level 😀
Kwakweli tutulie tuoneNami naungana na wewe tuna weka siti ya pamoja tukiwa na popcorn na juice tunacheki mtananange ulivyo 🤣
Nakazia.Usithubutu
Wanywe sana maji baridi huenda zikapoaNakazia.
Vijana wana Nyege za hali ya Juu sana siku hizi,,,,Waume kwa wanawake...
Nadhani Misosi hii iangaliwe upya,,,Kutamani Ndugu ni hisia zinazo ambatana na Ukame(Ugwadu) wa 5G...