Wala hakuna hatariMnhh wewe huoni hatari Zaidi kama bunge lote litakua CCM?
Wala hakuna hatari
Hao CCM wana kawaida ya kujitoa ufahamu ukishindana nao..wakati hatari inawahusu na wao..
Dawa ni kuwaacha wajazane humo halafu uone
Kama wanafikiri hatari haitawagusa..
Let them have it their way halafu wakati wanalia ndo watajifunza
Kama Tume ya uchaguzi imeshaagizwa Nani ashinde why tutumie nguvu kubwa sana kuleta haki?Hapana mkuu,
if we want a change, then it should be now, hatuwezi tukawapa nafasi kwa miaka mingine kumi tu ..kibure bure eti tusubiri tuone impact yake...no, hatuwezi kuweka Maisha yetu pending first, and second hata watoto wetu/vizazi vijacho watatulaumu kuipeleka nchi sehemu mbaya..we need to act, and it should be now,tunahitaji equal representation huko...yaani mimi I can not picture bunge lote kuwa CCM,sasa watakua wana discuss nini huko bungeni? mwendo kasi au???LOL