Confirmed: Benchi la Ufundi la Yanga halimhitaji Elie Mpanzu

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na kimataifa.

Soma pia: Tetesi: - Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

My take: Simba kazi kwenu.
 
Huyu mpanzu kashakua mswahili mara hivi mara vile,.
 
Safi waliopo waongezewe booster na mbinu
 
Yanga imejitosheleza,aende kwa makolo Ili akapate nafasi ya kuchezaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…