Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na kimataifa.
Soma pia: Tetesi: - Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii
My take: Simba kazi kwenu.
Soma pia: Tetesi: - Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii
My take: Simba kazi kwenu.