Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Bado dk 2 tu
3 minutes added on time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado dk 2 tu
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa
unafika mbali sasa...naona kama dakika 10 mwakamzima nina haaaaaaaaamu
Asante sana Mkuu tunasubiri kwa hamu sana.
Nimepata kituo cha kusubiria matokeo...:smile:
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa
Kiongozi sijaiona chai hadi kieleweke
Mkuu dakika kumi zako ni za kichina ebu tupe matokeo bana.Ila usichakachue tunajua Myika na Mdee ni wabunge vinginevyo patachimbika hapa.
Mi presha inapanda presha inashuka dah dk 10 zimekuwa nyingi kweli