Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

CCM imeshinda Kiteto Mkoa wa Manyara aliyechaguliwa ni Benedict Olenangoro(25,000+) :smile-big:na kumshinda mgombea wa CHADEMA Victor Kimesera(15,000+):tape: matokeo yametangazwa sasa hivi.
 
Yaani hadi hii wiki iishe au kufika ijumaa nitakuwa nimemaliza box zima la champagne na konyagi na valuu
 
Vp huko Karatu ngome ya CHADEMA imekuwaje? matokeo yakoje
 


Great News, Sasa matokeo yanaanza kuja!!
 

asma milah?
 
usiniambie unafahamiana na shekhe Yahya...hapa nilipo natokea mto wa mbu, nipitie hapo nyumbani kilimatembo nibadili nguo maana nitakesha huko, then nisubiri Munuo au Kuringe hapa barabarani niwahi Karatu


Nisimfahamu tena..btw, umoka hema? ha ha, mimi ni dena Qamara!!..ha ha
Usisahau mgorori, nakusubiri haphapa Munuo sasahivi uwahi desii..Busa itaisha:smile:
 
Taarifa kutoka karatu ni kwamba pastor israel ameshinda jimbo la karatu mjini

chadema - 46 000+

ccm - 20 000 +

Du! CCM Kiboko hata kwenye kambi ya CHADEMA imezoa kura zote hizo...!!!
 

63.9%
 
Mtalaka wa Dr. Slaa ameashindwa na Dr. Nagu, ila Halmashauri imenyakuliwa na CHADEMA.
CCM wana madiwani 12 kati ya kata 25.

Sasa Mbona zinabaki kata 13? kama hakuna chama cha upinzani kingine huko Halmashauri Itakuwa chini ya CCM ukijumlisha na mbunge ni kura 14 katika baraza
 
Oryo Irqwar doren bura mawak mungu thufisak asma ccm agaslaxaan. ( wairaqw wenzangu acheni pombe kwa kuiangusha ccm)

Naas ako, tanao yaa Chadema juu..Tutakunywa kidogooo!!
 
Safiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…