Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

CCM imeshinda Kiteto Mkoa wa Manyara aliyechaguliwa ni Benedict Olenangoro(25,000+) :smile-big:na kumshinda mgombea wa CHADEMA Victor Kimesera(15,000+):tape: matokeo yametangazwa sasa hivi.
 
Yaani hadi hii wiki iishe au kufika ijumaa nitakuwa nimemaliza box zima la champagne na konyagi na valuu
 
Vp huko Karatu ngome ya CHADEMA imekuwaje? matokeo yakoje
 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema ametangazwa mshindi sasa hivi.

Ubunge
CCM - 26,000+
CHADEMA - 41,000+

Udiwani
CCM - 4
CHADEMA -10

Urais
CCM - 24382
CHADEMA - 43297
barabara kuu iendayo Arusha imezibwa kwa umati wa watu wakiandama. Picha zitafuata punde.


Great News, Sasa matokeo yanaanza kuja!!
 
Huyo hata CHADEMA nzima ingehamia asingepita! Sijui kwanini hata baada ya kukaa na Dr. kwa muda wote hajajifunza kuwa mstaarabu, ashiga ilowaslaa lakini tabia yako mmh nashindwa kukutetea ukijirekebisha 2015 ntakupigia kampeni ama vipi jiandae maana hilo jimbo 2015 lazima liende CHADEMA na usipojirudi then usahau habari ya kutuwakilisha.

asma milah?
 
usiniambie unafahamiana na shekhe Yahya...hapa nilipo natokea mto wa mbu, nipitie hapo nyumbani kilimatembo nibadili nguo maana nitakesha huko, then nisubiri Munuo au Kuringe hapa barabarani niwahi Karatu


Nisimfahamu tena..btw, umoka hema? ha ha, mimi ni dena Qamara!!..ha ha
Usisahau mgorori, nakusubiri haphapa Munuo sasahivi uwahi desii..Busa itaisha:smile:
 
Taarifa kutoka karatu ni kwamba pastor israel ameshinda jimbo la karatu mjini

chadema - 46 000+

ccm - 20 000 +

Du! CCM Kiboko hata kwenye kambi ya CHADEMA imezoa kura zote hizo...!!!
 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema ametangazwa mshindi sasa hivi.

Ubunge
CCM - 26,000+
CHADEMA - 41,000+

Udiwani
CCM - 4
CHADEMA -10

Urais
CCM - 24382
CHADEMA - 43297
barabara kuu iendayo Arusha imezibwa kwa umati wa watu wakiandama. Picha zitafuata punde.

63.9%
 
Mtalaka wa Dr. Slaa ameashindwa na Dr. Nagu, ila Halmashauri imenyakuliwa na CHADEMA.
CCM wana madiwani 12 kati ya kata 25.

Sasa Mbona zinabaki kata 13? kama hakuna chama cha upinzani kingine huko Halmashauri Itakuwa chini ya CCM ukijumlisha na mbunge ni kura 14 katika baraza
 
Safiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom