Confirmed: Kikosi cha leo kitapangwa kwa msukumo wa Makonda

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe unanimezesha mapoint tuu babake!
hahaha shunie aliniambia
Washabikia omba omba fc
Nikajisemea mama ake hataki presha
ndio mana kaamua kukaa mbali.
 
hahaha shunie aliniambia
Washabikia omba omba fc
Nikajisemea mama ake hataki presha
ndio mana kaamua kukaa mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiite timu yangu omba omba!!

Ila sipendi fujo za ushabiki ndo maana huwa nakaa pembeni
 
Taifa
Stars
oyeeeeeeeeeeeeeeeee

Taifa stars tunaienda sana Dada!
ila mambo kama hizi za kina bashite zinatuvunja moyo kushabikia, wameshindwa Fanya masiasa yao uko wenyewe, wa
nataka tuharibia na mpira sasa.

Juzi na mwakyembe et anawapangia TFF mwisho wachezaji 5 wakigeni chezea nchini

Wanasiasa bana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiite timu yangu omba omba!!

Ila sipendi fujo za ushabiki ndo maana huwa nakaa pembeni
Mkiwa mna hela mnajiita 'Dar young Africa'
Mkiwa hamna ni timu ya wananchi.

Mkikosa makombe mwajiita" mabingwa wa kihostoria"" haha ili mradi muwemo.

Mechi ikianza ntakuwa nakuita sana mama ake; utazoea mbona mdogo wako kaweza eti
 
Amunike can never entertain a stupid idea.
 

Huyo uliyemtaja mwanzoni ni nani?
 
Kweli watu mna uzalendo..mie ndo najua leo kuna ligi...heee...wanagombania kombe gan??mwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…