FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni kweli hii timu sasa iko kisiasa mika ya 2000 hatukuwa kisiasa timu ilikuwa bora sana kwenye AFCON[emoji16][emoji16]Waache siasa kwenye mpira, amuache kocha afanye kazi yake!
Huyo kocha mla rushwa anatufungisha kwa makusudi!Waache siasa kwenye mpira, amuache kocha afanye kazi yake!
Tz hatuna kikosi cha kumfunga Kenya may be a miracle to happenNimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram.
Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na ikitokea tumefungwa tusimlaumu kabisa.
Je hiko ndiko Makonda alichotumwa kwenda Misri? Je Makonda hapo ni kama nani kwenye benchi la ufundi? Amunike ana madhaifu yake lakini pia na sisi tuna yetu tu na makubwa sana. Halafu hii timu ikiitwa " Timu ya Taifa ya Awamu ya 5 " kuna watu mnachukia? Tusubirie dk 90.
View attachment 1140081
Bashite Stars 0 Harambee Stars 3Naomba tufungwe magoli mengi!
Bashite Stars 0 Harambee Stars 3Taifa
Stars
oyeeeeeeeeeeeeeeeee
Nani kakudanganya kuwa huyo ni mdada?Taifa stars tunaienda sana Dada!
ila mambo kama hizi za kina bashite zinatuvunja moyo kushabikia, wameshindwa Fanya masiasa yao uko wenyewe, wa
nataka tuharibia na mpira sasa.
Juzi na mwakyembe et anawapangia TFF mwisho wachezaji 5 wakigeni chezea nchini
Wanasiasa bana
Unataka akalie kanisani jumapili?!
Mkuu nimeangalia avater tu; hata sikujua asante kwa taarifaNani kakudanganya kuwa huyo ni mdada?
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram.
Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na ikitokea tumefungwa tusimlaumu kabisa.
Je hiko ndiko Makonda alichotumwa kwenda Misri? Je Makonda hapo ni kama nani kwenye benchi la ufundi? Amunike ana madhaifu yake lakini pia na sisi tuna yetu tu na makubwa sana. Halafu hii timu ikiitwa " Timu ya Taifa ya Awamu ya 5 " kuna watu mnachukia? Tusubirie dk 90.
View attachment 1140081
hizi chatting si mpeleke PM jamani, sie wasoma komenti tunachoka kufuatilia majibizano ya watu wawili hasa yasiyohusiana na uzi, no offence lakiniNitakununia ujue
la dunia, linachezwa ufaransaKweli watu mna uzalendo..mie ndo najua leo kuna ligi...heee...wanagombania kombe gan??mwee
la dunia, linachezwa ufaransa
Angekula hizo rushwa wala tusingefuzu kuchezaHuyo kocha mla rushwa anatufungisha kwa makusudi!
Basi endeleeni kumzodoa tuuItakuwa vizuri hatujaona machozi muda sasa
Acha kuteseka mkuuhizi chatting si mpeleke PM jamani, sie wasoma komenti tunachoka kufuatilia majibizano ya watu wawili hasa yasiyohusiana na uzi, no offence lakini
Naomba tufungwe magoli mengi!