Confirmed: Kikosi cha leo kitapangwa kwa msukumo wa Makonda

Confirmed: Kikosi cha leo kitapangwa kwa msukumo wa Makonda

Tulivyopigwa mbili bila ni Makonda ndie alipanga kikosi, Amunike alikula rushwa, alipanga kikosi hovyo kabisa!
 
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram.

Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na ikitokea tumefungwa tusimlaumu kabisa.

Je hiko ndiko Makonda alichotumwa kwenda Misri? Je Makonda hapo ni kama nani kwenye benchi la ufundi? Amunike ana madhaifu yake lakini pia na sisi tuna yetu tu na makubwa sana. Halafu hii timu ikiitwa " Timu ya Taifa ya Awamu ya 5 " kuna watu mnachukia? Tusubirie dk 90.

View attachment 1140081
Tz hatuna kikosi cha kumfunga Kenya may be a miracle to happen
 
Taifa stars tunaienda sana Dada!
ila mambo kama hizi za kina bashite zinatuvunja moyo kushabikia, wameshindwa Fanya masiasa yao uko wenyewe, wa
nataka tuharibia na mpira sasa.

Juzi na mwakyembe et anawapangia TFF mwisho wachezaji 5 wakigeni chezea nchini

Wanasiasa bana
Nani kakudanganya kuwa huyo ni mdada?
 
Huyo jamaa mwingine hapo katikati ni nani nae kocha au
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram.

Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na ikitokea tumefungwa tusimlaumu kabisa.

Je hiko ndiko Makonda alichotumwa kwenda Misri? Je Makonda hapo ni kama nani kwenye benchi la ufundi? Amunike ana madhaifu yake lakini pia na sisi tuna yetu tu na makubwa sana. Halafu hii timu ikiitwa " Timu ya Taifa ya Awamu ya 5 " kuna watu mnachukia? Tusubirie dk 90.

View attachment 1140081
 
Kikosi cha leo kwa taarifa yenu kilipangiwa magogoni na karatasi akaondoka nayo bashite. Amunike ni spika tu, maiki ipo magogoni.
 
Back
Top Bottom