CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

Kuna Watu Wana Hasira na Mungu, sababu ya hasira zao hazijulikani, ukiwatumia nyuzi kama hizi ndio pona Yao ya moyo. Wataandika ya kupwa na ya kujaa ili waonekane Wanaakili kwa sababu wanampinga Mola Mlezi Muumba Mbingu na Ardhi.
Ada ya watu kama Hawa ni kuwapuuza, kutowajibu chochote Wala kuleta mijadala ya aina hii. Pigo kwao kisaikolojia kwa maana wanataka kuaminisha umma, mwisho wa siku wao ndio Wapumbavu. Wataumia mpaka kufa kwao, na watakufa kifo dhalili, hawana impact yoyote Ile itakayowapa tumaini juu ya kushuka kwa Jina LA Bwana, Mlezi wa Ulimwengu huu.
 
Back
Top Bottom