Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umbea wewe.Nasikia Chenge kaangushwa huko Bariadi, na jimbo limeenda CHADEMA...
nasikia chenge kaangushwa huko bariadi, na jimbo limeenda chadema...
Nasikia Chenge kaangushwa huko Bariadi, na jimbo limeenda CHADEMA...
Bariadi ni majirani zangu jamani,Wadhungu wanaita walking distance.
Nimeongea na chanzo cha kuaminika ni kwamba wameweka makompyuta pembeni wanahesabu kura kwa mkono.
Uwezekano ni jioni hii matokeo kuwa OUT.
Tuache uzushi jamani,moyo ni kiungo nyeti sana!

live toka wapo radio...