Confirmed:> New love birds - Diamond and wWema Septu

1227767699_kanumbawemaweb.jpg

....wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi wa chinichini kwa muda mrefu....Wema alionekana kuwa hoi kwa Kanumba huku kila wakati akimshikashika mabegani.... Wema alisema kwamba, hasikii wala haambiwi kwa Kanumba kwani mapenzi anayopata hawezi kuyapata kwa mwanaume mwingine.
wema2.jpg

alipotua eapoti akiliwa denda kavu kavu kudadadadeki..

wemabc.jpg

huyu nae alimkoboa....

Wema__1.JPG
 
Yo Yo una visa utavunja ndoa za watu shauri lako.....ohhh....
 
mara tid, blue, kanumba, jumbe, chalz baba, diamond, etc,, eheee na wengine watafuata,,,,

Bado wa nyuma ya pazia!!!

Diamond ni mdogo sana kwa shakumpempe Wema...
 
Yo Yo una visa utavunja ndoa za watu shauri lako.....ohhh....
Dogo aende kwa babu wa Loliondo sio akapate kikombe tu bali akaogelee siku nzima kwenye pipa la maji ya kikombe cha babu,nahofia kunywa tu hayo maji ya kikombe itakuwa buure kabsa
 
1227767699_kanumbawemaweb.jpg

....wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi wa chinichini kwa muda mrefu....Wema alionekana kuwa hoi kwa Kanumba huku kila wakati akimshikashika mabegani.... Wema alisema kwamba, hasikii wala haambiwi kwa Kanumba kwani mapenzi anayopata hawezi kuyapata kwa mwanaume mwingine.
...teh...teh...teh!!!so woote waliopita after kanumba sio wanaume?ni wanawake wenzie?
 
Mhhh,kaka alamsi na tuzo hujapata mwaka huu,wema hakawii kukutema!
 
wema na diamond wote si watoto na naamini kila
mmoja wao anazo habari za mwenzake. sasa kama wameamua
kupendana waacheni wapendane na wakishindwana pia
waacheni washindwane. sisi tuwatakie heri tuu
 
Back
Top Bottom