Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

Nakuamini Mnyama wangu SIMBA SC najua huwezi kuniangusha Nkana wameingia pori lenye mnyama mkali sioni ni wapi watatoka kujiepusha kuliwa na SIMBA

Kila la kheri chama kubwa Simba sc [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Ikiisha round hii kuna stage gani inafata?

Makundi au knockout nyingine!
 
Nawaonea huruma sana Nkana na yanga pia maana hawa yanga huwa wanaumia sana mnyama akishinda. Wanunue kabisa painkiller za panadol au hata propofol.
 
Wale Mashabiki Wao Wanasema Mtatukuta Huku Huku Bado Hawajaanza Kutoa Comments Zao
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…