Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

Huo ni uvivu wa kufikiri. Wangekuwana wachezaji wazuri basi kessy asingepata namba. Lakini pia wangekuwa na wachezaji wazuri ukiisoma link hii ambayo inaonyesha wana wachezaji wawili tu ndio walioitwa Zambia National Team

Zambia : Zambia National Football team head coach Names Squad


Kuitwa National Team hakutoi taswira ya ubora wa kikosi chai.

Kumbuka Mtibwa ni bora kuliko Lipuli lakini Lipuli imetoa mchezaji kwenda NT.
 
Kwenye hicho Kikosi cha Chipolopolo mbona sioni jina la Chama au Triple C au macho yangu?


Mchezaji kama ameachwa na Zesco unafikiri ni mchezaji huyo...

Basi tu...amewika kwakuwa amecheza na wakulima wa Swaziland kule..
 
Kwani mwezi wa 6 mwaka 2018 Cloutus Chama alikuwa tayari ni mchezaji wa Simba? Nadhani alikuwa bado yuko Zambia. Hivyo kama aliitwa tungeliona jina lake. Ni hayo tu mkuu
wanaforce kingi.

Chama ni kama Abdalah Seseme huko Zambia kwa sasa.
 
"jina lako linasadifu yaliyomo"
Hizi ni I'd tuu zinaficha mambo mengi... unaweza kujiita Messi.. lakini hata kupiga danadana mbili huwezi!... Mtu unajiita "rashford lingard "!...ina maana umeanza kuangalia mpira jana tuu!... hata ukibisha sawa tuuu!...
 
Wanjiku na kile kibinti demigod bado wapo kwenye siku zao toka Nkana ababuliwe.
Wanateseka hao
Wanaona haya
Pukachaka.
 
Back
Top Bottom