Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

Yawezekana wewe ni mdogo , huko nyuma Nkana red devils wamewahi kuwatoa Simba mara mbili. Kwa hiyo mechi hii ni mbaya zaidi kwa Simba kuliko Nkana
Nkana ya miaka hiyo siyo hii ya sasa na simba ya miaka hiyo siyo hii ya sasa, mambo yamebadilika sana tusubiri tuone
 
Nkana ya miaka hiyo siyo hii ya sasa na simba ya miaka hiyo siyo hii ya sasa, mambo yamebadilika sana tusubiri tuone
Ile alikuemo Madaraka Mzee wa kiminyio. After all Zambia wako juu yetu sana. Twende kwa tahadhari kubwa sana
 
hivyo ndivyo mnavyojipa moyo... Simba namuweka kwenye timu zinazoweza kuchukua CAF Champions League Msimu huu
Kuwa na matumaini ni jambo jema. Hali halisi ni kitu kingine.
Safari ya Kigoma ni hadi ufike Kigoma. Haijalishi unerudia Chalinze, Tabora au Uvinza. Hutakuwa hujifika Kigoma.
 
Huo ni uvivu wa kufikiri. Wangekuwana wachezaji wazuri basi kessy asingepata namba. Lakini pia wangekuwa na wachezaji wazuri ukiisoma link hii ambayo inaonyesha wana wachezaji wawili tu ndio walioitwa Zambia National Team

Zambia : Zambia National Football team head coach Names Squad
Kocha wao wa Taifa mdogo wake Amunike anawaacha wachezaji wanaocheza SA anawaita vilaza kina chama..wameshindwa kuqualify kundi jepesi mpaka Namibia kapita
Hata kusoma tarehe inakushinda ilikuwa tarehe 29 July 2018. Hivi julai ndio mwezi wa sita kwa kiswahili.
Wacha ubishi wa kijinga. Ukweli hauwezi kubadilika kwa kubadilisha tarehe.
CHAMA ni vice captain wa Chipolopolo.
Hupendi kachukue ndimu upunguze kichefuchefu.Katafute link nyingine.
AFCON wanaenda??? nasikia was mwisho kwenye kundi lao ..Namibia anaenda AFCON imaging
 
Jambo moja ambalo nina uhakika nalo kabisa ni kuwa mnyama huyu lazima atimbe hatua za makundi, jua liwake mvua inyeshe simba lunyasi yuleeeeeeeeeeee kwenye hatua ya makundi, kutokea hapo ndio tutajua kifuatacho ITV.
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Ajabu anayepigwa mijeledi ni punda wa nyuma lakini anayetoa mlio wa maumivu ni punda wa mbele.
 
We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Hawana pesa!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kiukweli hakuna mchezaji anayependa kuja kucheza huku mchangani.. halafu aache kucheza huko mambele Kama kina wanyama,samata,mane....mchezaji wa nje.. tena nchi kubwa kisoka kama Zambia.. aje kucheza hapa Tanzania???....ukiona hivyo ujue huyo ni "CHUMA CHAKAVU "!!...
sasa huyo chama sijui skrepa!.... kashindwa nini kwenda ulaya Kama wenzake????... mambumbumbu ndo zenu kuuziwa vyuma chakavu akina kagere, okwi na lile jambazi lenye kiduku "wawa "...
"bando ni langu usinipangie cha kuandika.
 
"jina lako linasadifu yaliyomo"
 
Vyura msijifanye hamna MB matokeo yenu huko sumbawanga tunayo
Tulikuwa tumepungukiwa Pesa mzee baba!

Kule Sumbawanga tulienda kukusanya gate collection kupata pesa ya kurudisha timu kwa njia ya pipa.

Ushindi haukuwa kipaumbele kwetu.
 
Leo Yanga amecheza "champions league " yao kule Sumbawanga mkoani Rukwa.
Matokeo ni kwamba kocha Zahere imebidi alie tena.
Wapenzi wa migongo wazi matokeo ngapi ngapi?
Anaitwa Zahera aka Mutu Ya Kongo.

Jamaa anajua sana.

Licha ya kuwa ajalipwa mshahara wake miezi 4 iliyopita lakini kwenyw msimamo yuko juu kwa alama 5 zaidi ya Shahidi wa Yehova.
 
Back
Top Bottom