Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Kwaiyo kocha wao wa ZAMBIA hana akirii ee ndio mana akampa vice captain yeye nakuwaacha hao akina mijichama kibao?
 
We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Sijui kama unakumbuka historia ya Simba vs Mufulira Wonders. Historia ina kawaida ya kujirudia
 
Bado wapo wanapiga magoti Manji arudi. Njaa sio mchezo. Hata Sumbawanga wamekwenda kwa mafungu wapate gate collection.
Timu inakula mwewe..Manara anawadanganya njaa njaa..
 
Ki Msingi hii Round ni kama tushapita tu,
Kuokoa Muda na Fedha CAF wangetupangia tucheze na timu ingine ya raundi ijayo
Hii dharau itawaponza. Simba atafia Kitwe. Dar itakuwa sare yoyote.
 
Hata kusoma tarehe inakushinda ilikuwa tarehe 29 July 2018. Hivi julai ndio mwezi wa sita kwa kiswahili.
Wacha ubishi wa kijinga. Ukweli hauwezi kubadilika kwa kubadilisha tarehe.
CHAMA ni vice captain wa Chipolopolo.
Hupendi kachukue ndimu upunguze kichefuchefu.Katafute link nyingine.
Hapa harudi anatafuta na udongo kabisa ndimu haitoshi
 
Nakuamini Mnyama wangu SIMBA SC najua huwezi kuniangusha Nkana wameingia pori lenye mnyama mkali sioni ni wapi watatoka kujiepusha kuliwa na SIMBA

Kila la kheri chama kubwa Simba sc [emoji123][emoji123][emoji123]
Yawezekana wewe ni mdogo , huko nyuma Nkana red devils wamewahi kuwatoa Simba mara mbili. Kwa hiyo mechi hii ni mbaya zaidi kwa Simba kuliko Nkana
 
Back
Top Bottom