Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamaWe!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Bado wapo wanapiga magoti Manji arudi. Njaa sio mchezo. Hata Sumbawanga wamekwenda kwa mafungu wapate gate collection.Wale Mashabiki Wao Wanasema Mtatukuta Huku Huku Bado Hawajaanza Kutoa Comments Zao
Ulisema hivyo hivyo na Mbabane leo umehamia Nkana.Mimbumbumbu safari imeiva
Sumbawanga hakuna network..Wale Mashabiki Wao Wanasema Mtatukuta Huku Huku Bado Hawajaanza Kutoa Comments Zao
hata Manchester mbovu iliifunga arsenal 8. Kama Simba hii unaona so bora ndo itaenda kuitoa NkanaNakumbuka mwaka 1994 kwenye michuano hii hii matokeo yalikuwa kama sikosei simba 2 Nkana 1 pale shamba la bibi, kule Lusaka Nkana 4 Simba 1. Simba Kali kabisa ya Mwameja, Deo mkuki,Aswile Godwin, Masatu George, Hussein Masha, Nteze John, Edward Chumila, Madaraka seleman,Duwa Said, Athuman China nk ikatolewa. Ngoja tusikilizie simba ya Manula na wenzake.
Embu tumia mfano huo huo kumzungumzia Hassan Kessy, Beki aliewahi kuichezea Simba na Yanga.We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Usisahau pia kua Simba ilishafungwa na Mafulira Wonders 0-4 shamba la bibi ikaenda kuibamiza kwao Zambia goli 5-0. Hii ilikua ni mwaka 1979.Nakumbuka mwaka 1994 kwenye michuano hii hii matokeo yalikuwa kama sikosei simba 2 Nkana 1 pale shamba la bibi, kule Lusaka Nkana 4 Simba 1. Simba Kali kabisa ya Mwameja, Deo mkuki,Aswile Godwin, Masatu George, Hussein Masha, Nteze John, Edward Chumila, Madaraka seleman,Duwa Said, Athuman China nk ikatolewa. Ngoja tusikilizie simba ya Manula na wenzake.
Hata Mbabane mliwasifia hivyo hivyo.We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Wengemchukua Kessy, wewe utakua huna macho ya mpira.We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Ngoja wenye chama wao waje Mkuu uone watakavyopovuka. Nimeongea hii kitu na mtu jana akabisha natamani angekuwa humu akaona ulichokiandika.We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Ha ha tena hapa, wa kuhurumiwa zaidi ni Yanga, bahati mzuri kwao, tunaanzi Away, ingekua tuna anzia hapa, wengejaa uwanjani kuwashangilia.Nawaonea huruma sana Nkana na yanga pia maana hawa yanga huwa wanaumia sana mnyama akishinda. Wanunue kabisa painkiller za panadol au hata propofol.
Mmh. Mmh. Mmh. Mmh.Nakuamini Mnyama wangu SIMBA SC najua huwezi kuniangusha Nkana wameingia pori lenye mnyama mkali sioni ni wapi watatoka kujiepusha kuliwa na SIMBA
Kila la kheri chama kubwa Simba sc [emoji123][emoji123][emoji123]